southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 826
- 1,017
Habari wakuu. mimi naomba niulize kwani maana nmekuwa nikifatilia kalenda za ninaokuwa nao kwenye mahisiano ili wasipate mimba zisizo tarajia.
ila kwa huyu sasa wa sasahivi ndio sielewi elewi maana ameniambia yeye mzunguko wake ni siku 28 na mini nikafuatilia nikaona ni kweli.
Sasa siku tuliyokutana ni siku ya 20 tokea aanze mzunguko wake na mimi nanavyojua ni kuanzia siku ya 10 hadi ya 17 ni za hatari kwahiyo nikaona tuko salama,na yeye haelewi kusoma kalenda mimi ndio nikampa somo,
Ila sasa zinakaribia siku 33 naona yupo tuu anadunda maana huwa lazima aniambie tumbo linamuuma,leo asubuhi nimemuuliza anasema yeye bado . Embu mnisaidie wakuu mnieleweshe ni tayari au ni mabadiliko tuu maana nawaza sana hapa natamani aniambie tumbo limeanza msumbua la bleed