cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,336
Usisahau pia kuwa Kuna propaganda nyingi za uongo Kila pambe ikivutia kwake ili ionekane mubabe na Bora kuliko mwenzake.Kama ilivyosasa wanamuogopa Urusi! How? Mbona naona ni swala la muda tu urusi atatii amri. Juzi Kati alipiga kelele akilalamika Ukraine ilijaribu kumuua Putin kwa kupiga eneo Walilodhani alikuwepo Putin. Sasa Kama anga la mbabe wa vita linashambuliwa na silaha ya kitoto Kama hizo drones si inamaana anga la urusi halipo salama ? Au wamejilipua wenyewe wapate kibali cha kuingia mazima Ukraine? Au ni west wamefanya hivyo kama anavyotuhumu? Kama ni kweli west wamembeep kwa drones bado inatuonesha anaweza akachapika tu kama west wataingia mzigoni mazima.
Vile vile Russia ilipigwa sanctions za kufa mtu na western ku stop vita ila bado ana dunda tu even western thought it was easier kumdhoofisha Russia kiuchumi mpaka Sasa hola.
So don't believe much on western media propagandas on war.