Tarehe 18 Mei 1985: Shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama Directorate K

Tanga kulikuwa na mama mmoja alikuwa kichaa kwa zaidi ya miaka 30. Mimi nainukia namuona akiwa kichaa na historia yake alikuwa vizuri tu mwanzo na chanzo cha ukichaa wake mauzauza tu.. But mwishoni mwa mwaka 2019 akapona eti ndugu zake walikwenda kwa mganga gani sijui akapona..

Lkn taarifa nyengine inasema mama alikuwa tiss nguli muda wakustaafu umefika ikabidi itengenezwe skendo yakupona kwake..
Kila tukiunganisha doti za ukichaa wake huenda ni kweli alikuwa tiss maana kuna kipindi anaopotea haonekani (sijui alikuwa anapeleka report ).
Mlishindwaje kumzalisha ,vizia 9t
 
Nifahamisheni kuhusu hizi signal zinavyotolewa.. Kwa mfano huyo bwana Oleg anaenda supermarket na mfuko wenye ujumbe kwa M16 na hao M16 wanamfuko wenye maandishi yakupokea ujumbe.. Swali! Wamejuaje kama Leo kachero Oleg atatoa ujumbe? Na Oleg atajuaje Kama Hawa jamaa watakuwepo hapo? Au ni maeneo aliambiwa watakuwepo hapo anytime na mifuko yao wakumsubiri Oleg?

Kwa ufaham wangu huyu Oleg, hakuwa agent Mi6 wakt anapelekwa katika ubalozi wa Russia nchini Denmark. Maana Oleg, baba yake pia naye alikuwa KGB officer. Oleg akiwa Denmark, alichukizwa na matendo ya Russia dhidi ya Czech, ndipo yalipelekea kubadili nia yake ya kuwa mtiifu kwa Russia. Simu yake moja aliyoipiga kwa mkewe kuonyesha kuchukizwa na kitendo hicho cha Russia dhidi ya Czech ndio ilitoa signal kwa shirika la intelligence la Denmark kwamba huenda Oleg anataka kuwa double agent.

Denmark kwakua hawakuwa na skills za kumtongoza a high ranking official na intel officer katika embassy ya russia, wakawaomba wabia wao Mi6 wawasaidie Kwenye hilo. Kwahio hapa, ndipo Mi6 ilimnasa baada ya vikao kama viwili, cha mwisho alicho insists (Oleg) kuwa, yupo tayr kwa kuongea nao nq kuwa double agent kwa sharti moja tu kikao kinacho fuata atakutana na maafisa waingereza pekee bila kuwepo raia yyte wa Danish.

Alifanya kazi na Mi6 nadhani kwa miaka 4 hivi kwa ku leak top Russian secrets kama micro films za raia wa Russia walio majajsusi Europe, pia maafisa na raia wa Europe wanaoifanyia kazi kwa russia. Baada ya miaka minne, alirudishwa russia makao makuu kgb. Akiwa russia alikuwa deskman ndiye ana handle docs zote za siri za Europe yote nk.

Baada ya miaka minne kuisha akiwa Russia, alipewa post ingine, safari hii alipelekwa London kwy ubalozi wa russia. Hapa ndio alifanya maangamizi makubwa zaidi kwa russia. According to Charles Powell, ambaye alikuwa mshauri wa usalama na katibu wa waziri mkuu wa wakati huo Magret, anasema "there was nothing more secret in uk than the existence of Oleg and who he was". Mawaziri wala nani, hamna aliemjua labda maafisa wa juu wa Mi6.

Awali akitokea Denamk na kurudishwa russia, kwa upande wao mi6 hawakufanya any attempt ya kuwasiliana naye, ila walimpaga Oleg namb maalum ya simu ya ku initiate mazungumzo wakati wowote wanapo potezana. Pia walipeana signal ya kushika plastic bag, sehm moja maalum nchini russia wakt wowote ikitokea anahisi anafuatiliwa na anahitaji atoroke. Na ili kujibu hii signal, ofisa wa Mi6 atattokea kutoka kwny crowd huku ana kula brand fulani ya chocolate, kama majibu kuwa ameeleweka.

Katika mission zake zote hizo abroad hakuwa na mkewe, na hata siku anatoroka pia alimficha mkewe kuwa anatoroka.

Kufuatia Speeches za Reagan kuhusu nuclear, na ile pressure iliokuwa kubwa kuwa mda wowote vita ya nuclear itaanza, ilfanya russia ihisi kuna mtu ndani yao anatoa siri. Kumbuka kuwa CiA walikuwa wakipewa intel kwa kile walichokiita " drip fed information on need to know basis" kutoka kwa wabia wao Mi6, swala ambalo hawakulifurahia. Walitaka direct intel from the source.

Kufuatia hali hiyo CiA wakampa kazi mkuu wao wa CiA counter russia, ya kufuatilia source ya high class info wanazopata mi6 na kuwapa wao. Ila ambacho CiA hawakakujua ni kuwa huyo afisa wao, Naye ni agent wa KGB. Huyu afsa ambaye baade CiA walimshtukia, alipopewa kazi hiyo na ili kutoonekana alikuwa compromised, alivujisha document Kibao ikiwepo hisia zake kuwa a newly appointed boss katika embassy ya Russia jijini London ambaye ni Oleg ndio source ya uvujishaji.

KGB walipoliona Jina lake katika ya majina mengi kutoka kwa source yao ndani ya CIA, wakamwita Oleg arudi nyumbani haraka on pretext ya kupewa promotion. Oleg chale zilimcheza, ila alijua kukaidi direct order kurudi russia itaonyesha wazi kuwa yupo guilty na angeshughulikiwa.

Alirudi russia bila kuwaaga mi6. Alipofika haraka sana walimpeleka kwny jumba lao, wakamtilia sumu ya kumlewesha, wakamtocha lakn uzuri wake Oleg hakutoa siri ya uhusika wake na Mi6. Basi kgb wakaamua kuchenj tactics kwa kumpa house arrest, na hapa ndipo baadae alitoroshwa, nadhani kwa operation ilioitwa piplico ..
 
Tatizo unasoma km hadithi ndiyo maana mpaka hapo huelewi chuki ya Oleg na serikali yake. Pole sana!
Ahahah sijui kwann mnakuaga na stress namna hii watanzania.Yan ume comment kwa hasira kama unalipwa🤣🤣.nadhan hii pole una stahili wewe..

Kwa kukusaidia tu ni hivi..nimesema "sijaona sababu YA MSINGI". Nimeiona sababu alionayo but kwangu sijaona kama ina mashiko.. ni ya kipuuzi and it is too selfish n personal..

Punguza makasiriko..usijepatwa na heart attack bila sababu za msingi
 
Kwa ufaham wangu huyu Oleg, hakuwa agent Mi6 wakt anapelekwa katika ubalozi wa Russia nchini Denmark. Maana Oleg, baba yake naye alikuwa KGB officer. Akiwa Denmark, alichukizwa na matendo ya Russia dhidi ya Czech, ndipo aliamua kubadili nia yake ya kuwa mtiifu kwa Russia. Simu yake moja kwa mkewe kuonyesha kuchukizwa na kitendo hicho cha Russia kwa Czech ndio ilitoa signal kwa shirika la intelligence la Denmark kwamba huenda Oleg anataka kuwa double agent.

Denmark kwakua hawakuwa na skills za kumtongoza high rank official na intel, wakawaomba wabia wao Mi6 wawasaidie. Kwahio hapa, ndipo Mi6 ilimnasa baada ya vikao kama viwili, na cha mwisho alicho insists Oleg kuwa, yupo tayr kwa kuongea nao kuwa double agent kwa sharti moja tu kikao kinacho fuata atakutana na waingereza pekee bila kuwepo raia yyte wa Danish.

Alifanya kazi ba Mi6 nadhani kwa miaka 4 hivi kwa ku leak top Russian secrets na micro films za raia wa Russia walio majajsusi Europe, pia maafisa na raia wa Europe wanaofanya kazi kwa russia. Baada ya miaka minne, alirudishwa russia makao makuu kgb, pale alikuwa ndio ana handle docs zote za siri za Europe nk.

Baada ya miaka minne, alipewa post ingine, safari hii alipelekwa London kwy ubalozi wa russia. Hapa ndio alifanya maangamizi makubwa kwa russia. According to Charles Powell, ambaye alikuwa mshauri wa usalama na katibu wa waziri mkuu Magret, anasema there was nothing more secret in uk than the existence of Oleg and who he was. Mawaziri wala nani, hamna aliemjua than Mi6.

Alipilirudishwa russia, Kwan upande Mi6, wao hawakufanye any attempt ya kuwasiliana naye, ila walimpaga Oleg namb maalum ya simu ya ku initiate mazungumzo wakati wowote wanapo potezana. Pia walipeana signal ya kushika plastic bag, sehm moja maalum nchini russia wakt wowote ikitokea anahisi anafuatiliwa na anahitaji atoroke. Na ili kujibu hii signal, ofisa wa Mi6 atattokea kutoka kwny crowd na kula brand fulani ya chocolate, kama majibu kuwa ameeleweka.

Katika mission zake zote hizo abroad hakuwa na mkewe, na hata siku anatoroka pia alimficha mkewe. Speeches as Reagan kuhusu nuclear, na ile pressure iliokuwa kubwa kuwa mda wowote vita utaanza, ilfanya russia ihisi kuna mtu ndani yao anatoa siri. Kumbuka kuwa CiA walaikuwa wakipewa " drip fed information on need to know basis kutoka kwa Mi6, swala ambalo liliwaudhi.

Kwahiyo CiA wakampa kazi mkuu wao wa CiA counter russia, ya kufuatilia source ya info wanazopata mi6. Ambacho CiA hawakakujua ni kuwa huyo afisa wao, Naye ni agent wa KGB. Huyu afsa ambaye baade CiA walimshtukia, alipopewa kazi hiyo na ili kutoonekana alikuwa compromised, alivujisha document Kibao ikiwepo hisia zake kwa newly appointed boss katika embassy ya Russia jijini London ambaye ni Oleg.

KGB walipoliona Jina lake kutoka kwa source yao, wakamwita arudi nyumbani haraka on pretext ya kulewa promotion. Oleg McHale zilimcheza, ila alijua kukaidi direct order kurudi russia itaonyesha wazi kuwa yupo guilty na angeshughulikiwa. Alirudi russia bila kuwaaga mi6. Alipofika haraka sana walimpeleka kwny jumba lao, wakatilia sumu ya kumlewesha, wakatocha lakn uzuri wa Oleg hakutoa siri ya uhusika wake na Mi6. Wakaamua kuchenj tactics kwa kumpa house arrest, na hapa ndipo baadae aliroroshwa, nadhani kwa operation ilioitwa piplico ..
Hujajibu
 

Sijajua sijajibu nini..

Ila hio plan ya kubeba British Carrier bag, na specific area ambapo anatakiwa aende, nchini russia ambapo Mi6 wanapenda kukaa, hili walilijadili tangu Denmark. Kwamba endapo atataka atoroke akiwa russia, wapi aende, nini abebe na akae kwa mda gani, na wao watamjibu vipi.

Kwny hilo eneo Oleg alikaa dk 6, maana yake, aatenda kwny eneo walilolipanga kutorka lini na saa ngapi. Kama ameeleweka atatokea agent akila bar ya chocolate aina fulani
 
Sijajua sijajibu nini..

Ila hio plan ya kubeba British Carrier bag, na specific area ambapo anatakiwa aende, nchini russia ambapo Mi6 wanapenda kukaa, hili walilijadili tangu Denmark. Kwamba endapo atataka atoroke akiwa russia, wapi aende, nini abebe na akae kwa mda gani, na wao watamjibu vipi.

Kwny hilo eneo Oleg alikaa dk 6, maana yake, aatenda kwny eneo walilolipanga kutorka lini na saa ngapi. Kama ameeleweka atatokea agent akila bar ya chocolate aina fulani
Mjibu huyo jamaa uliyemkoti ,ameuliza hizo signal zinatolewaje au tambuliwaje .... Kutambuana mkiwa mission na adui asielewe
 
Ahahah sijui kwann mnakuaga na stress namna hii watanzania.Yan ume comment kwa hasira kama unalipwa.nadhan hii pole una stahili wewe..

Kwa kukusaidia tu ni hivi..nimesema "sijaona sababu YA MSINGI". Nimeiona sababu alionayo but kwangu sijaona kama ina mashiko.. ni ya kipuuzi and it is too selfish n personal..

Punguza makasiriko..usijepatwa na heart attack bila sababu za msingi
Nyie ndo imeifanya jamii forum ikimbiwe na wenye akili. Yaani wewe kwako hiyo sababu ni ndogo sana! Member wa mwaka huu lkn umeshajua na kutukana baba zako.
Screenshot_20230506-183720.jpg
 
Sijajua sijajibu nini..

Ila hio plan ya kubeba British Carrier bag, na specific area ambapo anatakiwa aende, nchini russia ambapo Mi6 wanapenda kukaa, hili walilijadili tangu Denmark. Kwamba endapo atataka atoroke akiwa russia, wapi aende, nini abebe na akae kwa mda gani, na wao watamjibu vipi.

Kwny hilo eneo Oleg alikaa dk 6, maana yake, aatenda kwny eneo walilolipanga kutorka lini na saa ngapi. Kama ameeleweka atatokea agent akila bar ya chocolate aina fulani
Unahadithia kitu kilichokwisha elezwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom