Tarehe 10.10.2010 - Thank you my lovely wife Jackline....

...Nilishapitia magumu kidogo lakini mungu mkubwa jahazi likakaa sawa na safari inaendelea. nakubaliana na wewe ndoa ni tamu lakini kuna wakati huwa shubiri.

Subiri kidogo ukifikisha kama kumi hivi, ndio utaijua ndoa kwa undani wake halisi. Miaka mitatu bado mko kwenye honey moon!
 
Hi dude!!!

whats up my friend...

Nampongeza sana sajenti na akumbuke tu kwamba the first few years ni honeymoon, aombe iwe extended maana challenges za ndoa ni kasheshe

Ni kweli kabisa....
Lakini na maombi yetu kwao pia yatasaidia!
 
Kuna mdaua alisema ndoa ni kukubali na kuingia mkataba wa kuishi na kero za mwenzako maisha yako yote...sometimes downs zinakua nyingi sana...
..NI kweli tupu. Kwa mtazamo wangu unapoingia kwenye maisha ya ndoa hata life style yako unaweza kujikuta unalazimika kuibadirisha. Si unajua kama ulizoea kukaa Zero pub mpaka kunapambazuka ni wazi huwezi kufanya hivyo ukiwa na mke, hata attachments unalazimika kuzipiga chini kama sio kuzipunguza kwa kiasi kikubwa!!!! otherwise mh!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom