Tarehe 10.10.2010 - Thank you my lovely wife Jackline....

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Siku ya jana tarehe 10.10. 2010 mimi na my wife wangu kipenzi Jack tulikuwa tunatimiza miaka 3 ya ndoa yetu.Pamoja na mawimbi ya hapa na pale mungu ametufikisha hapa. What a wonderful wife and mother you are Jack??? Kwa kupitia JF napenda kumwambia mke wangu kwa kweli nakupenda sana wewe na mwanetu Nancy " Kadadaa"..Najua my wife huwa anapita pita humu..
 
Jamani inapendeza sana kama utam-mwagia maneno haya uso kwa uso, sasa huku JF asipopita pita ndio basi tena?

Anyways, sista kama ukipitia huku hongera mwayego...
 
congratulations and all the best with ur wife,mungu awapw maisha marefu yenye furaha na amani ndani ya ndoa yenu
 
Hongera sana Sajenti ..Post yako imeni touch sana nakutakia maisha mema ya ndoa ..upendo na amani katika family yako
 
safi sana mkuu nawatakia msongeshe libeneke la ndoa mpaka kifo ndio kiwatenganishe nyumba ndogo zikupitie mbali
 
Hongera sana mkuu....Bado kama aka saba hivi ufikie nilipofiki 4/10/2010!

Kila la kheri...jihadhari usifumaniwe!
 
Siku ya jana tarehe 10.10. 2010 mimi na my wife wangu kipenzi Jack tulikuwa tunatimiza miaka 3 ya ndoa yetu.Pamoja na mawimbi ya hapa na pale mungu ametufikisha hapa. What a wonderful wife and mother you are Jack??? Kwa kupitia JF napenda kumwambia mke wangu kwa kweli nakupenda sana wewe na mwanetu Nancy " Kadadaa"..Najua my wife huwa anapita pita humu..

Naomba nijumuike nanyi wapendwa binafsi jana nilikuwa natimiza miaka 31

napenda kuwashukuru nyie wake zetu kwa kutfikisha hapa tulipo kwa kweli wengine tulikuWA Tunaelekea pabaya kama si neema ya mungu kutuinua na kutuifadhi na ndoa zetu tusingekuwa hapa tulipo....thanx ma mom n dady thnx ma wife n ma baby kwa kunifanya nizidi kuwahi kurudi nyumban fmr job Godbless u faith
 
'mom, dad, wife na baby kwa kukufanya uzidi kuwahi kurudi nyumbani'

Pdidy watch out.
 
oooooh sana mkuu kwa mapenzi ya ndoa nawahi haraka nikiwa single home saa sita saba kwa nini nisiwashukuru mkuu
 
Hongera Sajent, bado safari inaendelea magumu ni mengi huko njiani!
 
Congratulations mkulu and all the best kwa miaka mingine inayokuja, cha muhimu kuzingatia usikamatwe kwenye INFI
 
Hongera sajenti, kazeni buti kabisa hadi mfikie 70 years in marriage.
 
Siku ya jana tarehe 10.10. 2010 mimi na my wife wangu kipenzi Jack tulikuwa tunatimiza miaka 3 ya ndoa yetu.Pamoja na mawimbi ya hapa na pale mungu ametufikisha hapa. What a wonderful wife and mother you are Jack??? Kwa kupitia JF napenda kumwambia mke wangu kwa kweli nakupenda sana wewe na mwanetu Nancy " Kadadaa"..Najua my wife huwa anapita pita humu..

Nimekupata sana honey, mwaaaaah. Later.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom