Tarehe 02 July - Nusu ya Mwaka 2023

Mtuache

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
251
638
Siku 182 zimeisha; siku 182 zimesalia kuumaliza mwaka 2023. Umefanya nini cha maana mpaka kufikia nusu ya mwaka 2023.

Uliyoyapanga kufanikifisha Mwaka 2023 yametimia? Umeshayaanza? Au utaanza kesho? Kesho huwa haifiki, wazungu wanasema "Tomorrow never come"

nini utafanya kwenye nusu iliyobakia? usinijibu mimi. Haya ni maswali muhimu sana kujiuliza kwa mtu aliye hai mwenye malengo na mwenye kujua nini maana ya maisha. Kama uliyoyapanga hujatimiza, bado hujachelewa; una siku 182 za kutimiza yale uliyoyapanga kwa mwaka 2023


KUMBUKA:

1. Kusali sana

2. Kutunze afya yako

3. Kujali muda
 
Back
Top Bottom