Arusha: Stendi ya mabasi ya mikoani inapogeuzwa kuwa soko, pamoja na kituo cha kufanyia biashara haramu

Bushm

New Member
Nov 25, 2023
1
5
Hii ndo hali halisi ya kituo cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha.

Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka.

Mabasi mengi kwa Sasa Yana ofisi zao nje ya kituo hicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni pamoja na kukosekana kwa huduma muhimu ndani ya kituo hicho kama vile sehemu za kupumzikia abiria, sehemu za kujificha mvua na jua.

Usalama wa abiria na mizigo Yao n.k
Picha zinakuja
9.JPG

991.JPG

99.JPG
 
Pamoja na stand yao ya mkoa kuwa ndogo na ya hovyo isiyoendana na hadhi ya jiji la Arusha lakini Arusha ni moja ya majiji ambayo kuna wauza sukari(dada poa) wazuri sana halafu wasafi tena wanauza mbususu kwa bei elekezi!

Nenda bar kubwa kama the Picnic utakuta pisi kali kila aina warembo classic kabisa ambao kwa mikoa mingine kama Kigoma huwezi kuwapata basi ukifika hapo unawapata kwa bei sawa na bure kabisa
Ninachopendaga wana customer service nzuri yaani mteja unapokelewa kwa bashasha na kauli nzuri ujichagulie aliyenona kulingana na uhitaji wako ukajitafunie fasta au usiku mzima.

Pia kuna chimbo maarufu kama the hub pale utakutana mpaka na wadada wa kizungu wanauza mbunye kwa bei poa kabisa inayoendana na raia mwenye kipato cha kawaida.
 
Pamoja na stand yao ya mkoa kuwa ndogo na ya hovyo isiyoendana na hadhi ya jiji la Arusha lakini Arusha ni moja ya majiji ambayo kuna wauza sukari(dada poa) wazuri sana halafu wasafi tena wanauza mbususu kwa bei elekezi!
Nenda bar kubwa kama the Picnic utakuta pisi kali kila aina warembo classic kabisa ambao kwa mikoa mingine kama Kigoma huwezi kuwapata basi ukifika hapo unawapata kwa bei sawa na bure kabisa
Ninachopendaga wana customer service nzuri yaani mteja unapokelewa kwa bashasha na kauli nzuri ujichagulie aliyenona kulingana na uhitaji wako ukajitafunie fasta au usiku mzima.
Pia kuna chimbo maarufu kama the hub pale utakutana mpaka na wadada wa kizungu wanauza mbunye kwa bei poa kabisa inayoendana na raia mwenye kipato cha kawaida
Mi naona Waarabu tuwape tu bandari zote
 
Ukweli mtupu
 
Hii ndo hali halisi ya kituo Cha mabasi ya kwenda mikoani jijini Arusha.

Mchana kinageuzwa kuwa soko, ikiwa no pamoja na biashara nyingi haramu na usiku kinageuka kuwa danguro pamoja kuwa sehemu za kulala kwa wale vijana wa mjini wasiokuwa na pakulala wakiwemo na vibaka.

Mabasi mengi kwa Sasa Yana ofisi zao nje ya kituo hicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni pamoja na kukosekana kwa huduma muhimu ndani ya kituo hicho kama vile sehemu za kupumzikia abiria, sehemu za kujificha mvua na jua.

Usalama wa abiria na mizigo Yao n.k
Picha zinakuja
Masaa 6 yamepita tangu upandishe uzi na kuahidi picha zinakuja. Ziko wapi?
 
Pamoja na stand yao ya mkoa kuwa ndogo na ya hovyo isiyoendana na hadhi ya jiji la Arusha lakini Arusha ni moja ya majiji ambayo kuna wauza sukari(dada poa) wazuri sana halafu wasafi tena wanauza mbususu kwa bei elekezi!
Nenda bar kubwa kama the Picnic utakuta pisi kali kila aina warembo classic kabisa ambao kwa mikoa mingine kama Kigoma huwezi kuwapata basi ukifika hapo unawapata kwa bei sawa na bure kabisa
Ninachopendaga wana customer service nzuri yaani mteja unapokelewa kwa bashasha na kauli nzuri ujichagulie aliyenona kulingana na uhitaji wako ukajitafunie fasta au usiku mzima.
Pia kuna chimbo maarufu kama the hub pale utakutana mpaka na wadada wa kizungu wanauza mbunye kwa bei poa kabisa inayoendana na raia mwenye kipato cha kawaida
Sio kwa kuipamba hivyo
 
Hivi stendi ya mabasi chuga bado ipo hapo karibu na sheikh amri abeid "stediamu"?
 
Arusha hawana stand ya Bus wana kituo cha kushusha na kupakia abiria tu ambacho ni cha hovyo hovyo tu na wanachukua mapato na kupiga faini watu sehemu za hovyo kabisa...
 
Back
Top Bottom