TANZIA TANZIA. Taarifa kwa wana Chit-Chat wote.

Pole sana mpenzi wangu wa zamani,
nami nitakuja huko msibani,
babati napafahamu kidogo kwani niliishi karatu miaka ya nyuma kidogo.
 
Wakubwa na wadogo wake kwa waume, kwa masikitiko makubwa nawatangazia kuwa nimefiwa na mjomba wangu aitwaye DANIEL. Alifariki ghafla jana usiku na alikuwa amehamia na kuweka makazi sehemu za Gallapo Babati mkoani Manyara. Mchana wa leo nitaenda kule.

Pole sana.
 
Mkuu pole sana kwa msiba
 
Pole sana Arushaone
Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu
Tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi
Jina la bwana Libarikiwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom