TANZIA TANZIA. Taarifa kwa wana Chit-Chat wote.

Pole brother.
Ulimpenda ankali wako ila wanga hawakumpenda, wakamtanguliza. Mungu awalaani watoka pabaya wale...

Mphamvu!! Nimefarijika kunipa kwako mkono wa pole hakika tuko pamoja. thanx.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom