Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

Tatizo lao hawafanyi mazoezi huku wakila ovyo matokeo ya mashinikizo ya damu alafu watasingizia eti KAROGWAAAA! Pumzika kwa amani mkuu.

Huo unaweza kuwa ukweli na bahati ni mkristo hivyo hoja ya ulozi haitatawala.Tatizo kubwa ni waafrika wachache sana wenye tabia ya kupima afya mara kwa mara.Suala la pili ni kama ulivyoshauri ukosefu wa mazoezi.Haya hupelekea wengi kuishi na maradhi tena mengine makubwa na hatari kama kisukari na presha.Mara nyingi wanapojisikia vibaya hununua vidonge vya kutuliza maumivu na kumeza.Kwa kuwa nazo aspri na panadol hutibu magonjwa zaidi ya moja hutuliza tu na ugonjwa mama hubaki pale pale.Sasa siku ugonjwa ukiibuka kwa nguvu zote kwa kukosa tiba na tahadhari ya vyakula na vinwaji sahihi madhara huwa makubwa na huweza kupelekea vifo.R.I.P mh.Tupa.
 
Hebu nikumbusheni ni mkuu gani wa wilaya alilala na asubuhi akajikuta amelala nje?
Hizi habari zilienea sana wilayani Magu kwenye miaka ya 70s kua Ana Abdallah alijikuta kalala nje karibu na daraja la simiyu. Kwa maoni yangu hizi zilikuwa ni porojo tu.
 
Back
Top Bottom