kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,030
- 6,559
nime sikitishwa na namna ambavyo mwanae amepata hizi taarifa za kifo cha baba yake mzazi...tukiwa kwenye semina morogoro na bint yake, alipata txt kutoka kwa # ngeni ikimsihi aingie Jf mara moja, bint bila kusita aliingia na ghafla kukutana na hizi taarifa za kusikitisha...kwa kweli baada ya hapo nilikitika sana