TANZIA: Mama yake kipenzi Ladydoctor amefariki dunia

TANZIA:

HABARI ZENU WAPENDWA WENZANGU WA HAPA JAMVINI
NIMEPOKEA TAARIFA YA MAJONZI NA YA KUHUZUNISHA YA KUONDOKEWA NA KIPENZI CHETU
MAMA YAKE Lady doctor AMBAYE ALIFARIKI JMOSI NA LEO. LADY DOCTOR NI RAFIKI YETU
KIPENZI CHETU NA NI MIONGONI MWA JAMII YETU HAPA HIVYO WAPENDWA WANGU MSISITE
KUTOA MANENO YENYE KUMFARIJI MPENDWA WETU HUYU ALIYEONDOKEWA NA MAMA YAKE

NASI WATOTO WA Watu8 TUNAMTAKIA FARAJA NA MUNGU AMPE NGUVU KATIKA KIPINDI HICHI KIGUMU

BWANA AMETOA NAYE AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE


WASALAAM


LADYF

Pole sana kwa Lady Doctor
 
Last edited by a moderator:
Pole sana friend kwa kuondokewa na mama kipenzi Mungu amlaze mahali pema.,
 
Mungu aipumzishe pema peponi roho ya marehemu mama
Mungu ampe ladydoctor kumbatio zito la faraja na tumaini
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom