Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

Maskini Baba Askofu!! Alikuwa anaandamwa na tuhuma za ufisadi mkubwa hapo Arusha. Sijui kama kweli alihusika, na sijui kama alipata fursa ya kutubu kama kweli anahusika!

Gazeti la Habari Leo sasa watakosa habari ya kuandika..
 
Huyu si ndie yule mwaka 1994-5 alileta kasheshe kubwa hadi aliyekuwa na vyeo viwili Waziri wa Mambo ya Ndani na Makamu wa Raisi wa Pili Bwana A.Mrema alipoingilia Kati?

Mwenyezi Mungu aiweke Roho yake pahali panapomstahili....
 
Wana jamvi taarifa iliyopatika hivi kunde Dk Tomath Laizer kafariki dunia. kama mtatambua mgogoro uliokua ukiendelea katika dayosisi ya kaskazini na kati kuhusu deni la tshs 800 m na mchango kwa waumini ili kuokoa aibu ya dayosisi na kanisa.

Source mimi mwenyewe arusha one.
 
Busara huwa hazitutumi hivi! He is dead anyway, anayejua usafi wa mtu ni Muumba mwenyewe. We could speak a word when he was alive, now that he is dead, let his case be judged by He who has called him to glory!

ndiomaana nimelalamika kuwa amekufa kabla kesi yake ya ufisadi haijaisha.

mungu amlaze mahala anapostahili kutokana na matendo yake.
 
Huyo ni. Wakala wa sheitwani kins mengi. Ns. Japo. Watu. Wanamwita baba baba. Punguani. Mmeambiwa. Uswite. Mtu. Hapa. Baba. Maana. Baba yenu mi. Mmja tuuu

Mara nyingi huwa nawashauri watu watumie akili hapa jamvini. Ila leo nimejifunza jambo jipya. Kama huna kabisa akili utumie nini? RIP Laizer!
 
Mgogoro wa Arusha vipi? Hukumu ya Mungu kwa waliochochea mauaji inaanza rasmi.
 
So sad news. Nadhani huu ni msiba wa watanzania wote si tu kwa wanakkt au wakristo peke yake, naamini Baba askofu alikuwa na mchango kwa watu wa dini zote kama kiongozi wa dini. Ee Mungu umpumzishe mahala pema Baba askofu Laizer.
 
Nimesikia ITV ni habari ya kweli imetangazwa kama breaking news kwenye taarifa ya habari
 
Goosh, serious?

Darkest Moment to KKKT, the bilievers, christians, Tanzania and the world!
RIP Shephard of the congregation.

PakaJimmy ni kweli! Bad enough Baba Askofu MSARIKIE wa Kilimanjaro naye kafariki leo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom