DOKEZO KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki(Tanga) walipe madeni ya walimu wa Bangala na Lwandai sekondari

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kyamiki

Member
Oct 19, 2022
19
18
Uongozi wa Kkkt Dayosisi ya kaskazini mashariki (KKKT-DKMS) wasidhulumu haki za watumishi wa Lwandai sekondari na Bangala seminari n.k

Ni miaka kadhaa umepita tangu uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri-DKMs ubadilishwe toka kwenye uongozi wa Dr. Munga kwenda kwa Ask. Dr Mbilu Msafiri, na uongozi huu mpya ulipoingia madarakani waliahidi kuwa mambo yatakuwa sawa ndani ya miaka kadhaa lakini hali haijabadilika.

Uongozi huu mpya wa Dayosisi uliingia madarakani ilikhali kanisa likiwa na madeni makubwa(bilions) ambayo waliyarithi kutoka kwenye uongozi wa Askofu Munga na katibu mkuu James Mwinuka, na kwakuwa uongozi mpya ulijua dhahiri kuwa dawa ya deni ni kulipa, Basi walianza mchakato wa kulipa madeni kwa kuandaa harambee na kuwaomba wakristo wachange kulipa madeni hayo, lkn tangu zilipoanza kuchangwa hatujawahi kulipwa madeni ya nyuma.

Miongoni mwa madeni hayo ni malimbikizo ya mishahara kutoka ktk vituo vya Dayosisi mf. Lwandai, Bangala seminari na SEKOMU.

KWANINI NIMEANDAA THREAD HII?..
Nimeandaa thread hii kwakuwa uongozi huu mpya unaonesha nia ya kutotaka kulipa madeni ya Watumishi wa Bangala seminary n.k kwani kila mara viongozi wanapofuatwa huwa wanatoa majibu yanayoonesha upigaji chenga na ukwepaji wa kulipa.

Naamini Uongozi wa kanisa ungeweza kulipa kabisa madeni hayo kwakuwa tu tunaamini kuwa michango kwaajili ya kulipa madeni inakusanywa mingi ila tatizo fedha hizo huelekezwa ktk matumizi mengine (mf.posho za safari za viongozi wa juu n.k) tofauti na lengo hilo..

Nasema pesa ya kulipa madeni ipo kwakuwa:-
1. Viongozi wa ofisi kuu wamejiongezea mishahara mara dufu.
2. Viongozi wa juu hutumia pesa nyingi kwaajili ya safari wakiwa na familia zao na posho nyingi..
3. Kukosekana kwa uwazi ktk mapato ya fedha za harambee kwaajili ya kulipa madeni...
4. Watumishi wa Bangala seminari waliahidiwa kulipwa mara baada ya madini kuchimbwa shuleni badala yake fedha iliyopatikana ililiwa na Viongozi wa kanisa waliopewa kusimamiaa then leo ukihoji unaambiwa haikupatikana fedha wakati viongozi wa kanisa waliosimamia Kazi hiyo wanajua ukweli..
5. Posho za ofisi kuu zisizo za lazima zingetosha kupunguza madeni ya vituoni..

Hayo yote ni tisa!!..kumi ni kwamba Uongozi wa kanisa ulipe madeni ya watumishi wa shule hizo!!..(Bangala na Lwandai)
 
Kuna vituo mbalimbali wa vituo vya kanisa kama vile Lwandai sekondari, Bangala seminari watumishi waliopo hapo wanateseka na hawalipwi kwa wakati ilikhali viongozi wa Dayosisi wanaishi maisha murua na naamini wanapeana posho kubwa kubwa..

Pia viongozi wa kanisa wakipunguza safari za hapa na pale watakuwa wamepunguza matumizi ambapo pesa hiyo ingepunguza madeni ya watumishi.
 
Kanisa la KKKT-DKMS, viongozi walipe fedha za malimbikizo ya mishahara ya watumishi waliowahi kufanya Kazi ktk taasisi zao na wanadai malimbikizo ya mishahara yao,

Mf.shule ya Bangala seminary walimu wanadai mishahara zaidi ya miezi 20 na uongozi wa kanisa(katibu mkuu n.k) ambaye ndio mwajiri hatoi majibu ya kuridhisha kuhusu namna ya kulipa..pia amekuwa akitoa ahadi hewa kuwa angelipa endapo madini yangechimbwa ktk eneo la shule na hata baada ya madini kuchimbwa ktk eneo la shule, fedha zilizopatikana hazieleweki zilipelekwa wapi.

Swali la kujiuliza ni je hata viongozi wakuu wa Dayosisi wao pia wanadai mishahara?

Je posho wanazotumia kwa safari nyingi n.k wangezitumia kupunguza madeni ya watumishi si ingekuwa ni Jambo jema?

Pia michango ya NSSF haijalipwa na watumishi wanakatwa..je huu ni uungwana KWA uongozi wa kanisa? Wanahubiri upendo lkn hawajali wengine.
 
Back
Top Bottom