payuka
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 829
- 127
Kuna ka-kampuni fulani niliwahi kuambiwa ndo kana-haki miliki ya kuratibu mambo yoote ya madini ya Tanzanite.
Haka ka-ofisi kako based Johannesburg - sehemu za Sandton, hivi kuna ukweli wowote wadau?
Na kama ni kweli kwanini haya mambo yanayotambulisha utaifa wetu tushindwe kuyaratibu sisi? Hivi ni kweli watanzania tupo nyuma kiasi hicho ...kiasi kwamba kila kitu tunatafuta investor wa nje?