Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Kuna huyu mchezaji Patrick Mtiliga ambaye babake ni Mtanzania na mamaye ni Mdenmark anachezea Malaga ya Spain kama defender yumo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Denmark kinachocheza kule South Africa wiki ijayo. Jamaa aliamua kuukana uraia wa Bongo wenye nuksi akiwa U17 player na kuamua kuwa raia wa Denmark ila mpaka sasa baba yake ni Mtanzania. Hivyo nasi basi tutawakilishwa japo na mchezaji mwenye asili yetu kule Bondeni.
Team ya taifa ya Denmark itakayocheza SA
Akiwa kazini timu ya taifa Denmark
Cristiano Ronaldo breaks Patrick Mtiliga's nose
Alipokuwa akicheza NAC Breda ya Uholanzi kabla hajahamia Malaga FC
Patrick Mtiliga's Profile
Patrick Mtiliga on Facebook
Video: Watch Cristiano Ronaldo Breaking Patrick Mtiliga Nose
SOURCE: Tanzania