Tanzanian son to play in FIFA World Cup 2010

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Kuna huyu mchezaji Patrick Mtiliga ambaye babake ni Mtanzania na mamaye ni Mdenmark anachezea Malaga ya Spain kama defender yumo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Denmark kinachocheza kule South Africa wiki ijayo. Jamaa aliamua kuukana uraia wa Bongo wenye nuksi akiwa U17 player na kuamua kuwa raia wa Denmark ila mpaka sasa baba yake ni Mtanzania. Hivyo nasi basi tutawakilishwa japo na mchezaji mwenye asili yetu kule Bondeni.

Team ya taifa ya Denmark itakayocheza SA

5980.jpg

Akiwa kazini timu ya taifa Denmark

cristianoronaldopatrickmtiliganose20100124_275x155.jpg

Cristiano Ronaldo breaks Patrick Mtiliga's nose

20080916-mtiliga2.JPG

Alipokuwa akicheza NAC Breda ya Uholanzi kabla hajahamia Malaga FC

Patrick Mtiliga's Profile

Patrick Mtiliga on Facebook

Video: Watch Cristiano Ronaldo Breaking Patrick Mtiliga Nose

SOURCE: Tanzania
 
Hata mie ningekuwa yeye toka na mwaka 1..
Ningelihama hili liinchi...
Kazi kuwangiana tu...
 
A surprise inclusion is Malaga defender Patrick Mtiliga, who last played for Denmark in November 2008.
"With the move from NAC Breda to Malaga he went to a better club and a better league," said Olsen.
"We believe Patrick is the perfect fit for the type of opposition we will face."
 
hongera zake ...................gud for him! wish him well
 
Christian Mtiliga (Patrick Mtiliga's Father)

Denmark's Patrick Mtiliga fights for the ball with Demba Cisse (L) of Senegal during their international friendly soccer match in Aalborg May 27, 2010. REUTERS
 
Jamaa mwenyewe kumbe ni Kijogoo tayari na anakaribisha 30 years sasa. Acha apate uzoefu labda siku moja anaweza kuja kama kocha wa Taifa na akatupatia uzoefu wake. Siyo lazima aje achezee Tanzania huku akijua hata kombe la Africa hatacheza.

Kumbe wabeba Mabox wana faida sana. Lakini uraia wa Tanzania hatutaki kuwapa eti wanavaa Jezz tu na hawana kitu. Siku moja tutaanza kulialia ohh, fulani ni mtoto wetu wakati hata senti moja hatujachangia na sanasana tulimfanyia roho korosho. Walau kumgundua mapema basi lakini nalo kimya. Ingelikuwa baadhi ya nchi, basi waandishi wa habari wangelimsaka hadi wafanye naye mahojiano na kumualika kwao.
 
All the best Pat maana hapa ungekumbana na mizengwe ya Kayuni, waganga nk by the way Tech Director wa TFF bwana Kayuni mbona hana afanyalo zaidi ya kuvaa suspender kama Mtikila tu na kuhudhuria kozi za FIFA kila mwaka yeye tu na wateule wake wachache? why asiwape nafasi hizo waalimu wa michezo shule za sec or primary?
 
Namtakia kila la kheri Patrick, ni sawa kubadili uraia kwani hapa bongo hakuna deal kabisa na wala asingetoka akachezea timu kubwa kama Malaga kwani sisi tupo chini kwenye rank za FIFA. Mbona Machupa alishakana uraia wa Tz ili angalau atoke, mi mwenyewe niko bongo ila nimeshaukana uraia wangu humu humu nchini maana nimechoka kweli kweli na ufisadi huu. Ila CCM iking'olewa madarakani narudisha uraia wangu.
 
angekuwa bongo asingefika kokote sana sana angekutana na mizengwe ya kina madega,kaduguda na kuishia hapa hapa kama kina lunyamila,hamis gaga,said mwamba,nteze john,rashid msonga,mrisho na wengine wengi tu ambao naamini wanaweza cheza mpira mkubwa ila basi tu nchi yeti imeoza kwa kila kitu..sijui tuna nini cha kujivunia sisi ?
 
Closest thing to Tanzanian representation at the World Cup so i wish him luck.
 
angekuwa bongo, nadhani angebobea kwenye bangi na mpira wa kichawi, we nchi ya watu karibu million 45, tunashindwa kupata first 11 tu, yaani watu 11 wenye vipaji vya soka kwenye million 45 hawapo?, tunaenda kufungwa na Rwanda yenye watu million 8 + Vita, ni aibu sio mchezo
 
Kituko soka ingekuwa inatazamwa hivyo,basi China, India nao wangekuwa vigogo wa soka duniani. Lakini ukweli upo pale pale,soka letu kichefuchefu.
 
Kuna huyu mchezaji Patrick Mtiliga ambaye babake ni Mtanzania na mamaye ni Mdenmark anachezea Malaga ya Spain kama defender yumo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Denmark kinachocheza kule South Africa wiki ijayo. Jamaa aliamua kuukana uraia wa Bongo wenye nuksi akiwa U17 player na kuamua kuwa raia wa Denmark ila mpaka sasa baba yake ni Mtanzania. Hivyo nasi basi tutawakilishwa japo na mchezaji mwenye asili yetu kule Bondeni.

Team ya taifa ya Denmark itakayocheza SA

5980.jpg

Akiwa kazini timu ya taifa Denmark

cristianoronaldopatrickmtiliganose20100124_275x155.jpg

Cristiano Ronaldo breaks Patrick Mtiliga's nose

20080916-mtiliga2.JPG

Alipokuwa akicheza NAC Breda ya Uholanzi kabla hajahamia Malaga FC

Patrick Mtiliga's Profile

Patrick Mtiliga on Facebook

Video: Watch Cristiano Ronaldo Breaking Patrick Mtiliga Nose

SOURCE: Tanzania
heheheheheheheeeeeee yaani hapo kwenye red nimecheka hadi nataka kubinuka.
 
angekuwa bongo, nadhani angebobea kwenye bangi na mpira wa kichawi, we nchi ya watu karibu million 45, tunashindwa kupata first 11 tu, yaani watu 11 wenye vipaji vya soka kwenye million 45 hawapo?, tunaenda kufungwa na Rwanda yenye watu million 8 + Vita, ni aibu sio mchezo

Co-sign.

It's the same with our soccer as it is with everything else in TZ. POOR LEADERSHIP!

No organisation, no vision, etc. They seem to think they can just get a foreign coach and all our problems will be solved. Other countries have spent time and money developing and encouraging players from a very young age. Tanzanians have been told time and time again the only way to success is though youth development yet they go ahead and abolish sports in schools. There are no shortcuts.
 
Ah hapa angekuwa anashinda kwenye vilabu vya kimpumu na angekuwa kesha zeeka longi
 
safi sana

nashukuru alikana uraia wa ji nchi hili

jama madega alitolewa ndukiiiiiiiiiiii!!!!!!!!
 
Kichwa cha thread kinasema "Tanzanian son..." . Huyu si Tanzanian son kwa mujibu wa habari, kwa sababu whatever "Tanzanian son" is, huwezi kuwa Tanzanian son kama wewe si Tanzanian, na kwa mujibu wa habari jamaa alishaukana uraia wa Tanzania.

Labda mleta mada alikusudia kuandika "Tanzanian's son...". Big difference.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom