Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

R.I.P the Great,huyo mwanamke atafutwe na afikishwe kwenye vyombo vya sheria,Imetugusa sana wadau the Late Kanumba.
 
nimeumizwa san tena sana na kifo cha kanumba. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.
 
Ngoja tusubiri magazeti ya udaku uwazi, kiu, ijumaa, risasi wataichambua habari vizuri kabisa.
 
Huyu ndiye LULU the Suspect!!

Lulu.jpg
 
Yule nguli katika tasnia ya uigizaji nchini maarufu kama STEPHEN KANUMBA amefariki dunia usiku wa kuakia jumamosi ya leo.Kifo chake ni cha ghafla na bado hakijathibitishwa rasmi.source TBC habari asubuhi hii.
 
mkuu! Hakuna kuomba hapa, kifo chake kama inasemekana, 7bu ni mapenzi, while huyu lulu c mke wake. Mungu wa kweli hana muda wakusikiliza kelele. Infact, tasnia ya filamu ni 1 ya kitengo cha shetani.! Sorry huo ndo ukweli

Kuwa muungwana au kwasababu sio ndugu yako.R.I.P KANUMBA.
 
Kanumba wiki iliyopita katika kipindi cha Take One kinachorushwa hewani kupitia Clouds TV alimtolea uvivu baba yake, Mzee Kusekwa akidai amechangia katika mateso yake aliyoyapata utotoni.

Baada ya Kanumba kueleza hayo, baadhi ya watu wakiwemo wasanii wenzake walimshangaa na kueleza kuwa kitendo alichokifanya si cha kiungwana kwani mzazi ni mzazi tu, hata kama amekosea si sahihi kumdhalilisha.

Ile bible statement isemayo ''Waheshimu baba yako na mama yako ili siku zako zipate kuwa nyingi'' Ina mahusiano gani na hiki kifo. katika afrika bara ambalo uchawi bado una nguvu sana watoto hawashauriwi kuwashutumu wazazi hadharan, ni hatari sana.

hata huku USWAZ WANAONGEA ABT THAT!kuhusu hiz Dady
 
si ndo yule aliyekuwa anacheka kicheko cha kulazimisha kwenye tangazo la startimes?rip
 
Mchango mzuri katika tasnia ya fiamu Tanzania - "The Great" jina muafaka... Kutoka kwa akina mzee Jangala & Kipara na magwiji wengineo Kijana alijaribu na Mchango wake umeleta mabadiliko, kwa kuzingatia Kiwango chahe cha elimu alijaribu.

Yake yamekwisha kazi kwa tuliobaki kuweka sawa Uhusiano wetu na Mungu
 
Back
Top Bottom