Tugutuke
JF-Expert Member
- Apr 21, 2011
- 501
- 165
Steven Kanumba
Popular Tanzanian and occasional Nollywood actor, Steven Kanumba, has been reported dead.
The cause of his death has not been officially confirmed, but reports have it that he was fatally injured after a fall. News has also emerged that he was in an altercation with a lady, allegedly an aspiring actress, Elizabeth ‘Lulu' Michaels which led to the fatal fall.
But there are conflicting reports saying his death was as a result of a car accident on his way home from a night club on Friday, April 6, 2012.
Steven ‘The Great' Kanumba, born January 8, 1984, was a very popular actor in his native East African country of Tanzania and was also a producer and director with numerous films to his credit.
==============
Kwa habari ambazo kiukweli sina uhakika nazo sana eti Bongo Movie Super Star Steven Kanumba amefariki Dunia usiku wa Ijumaa kuamkia J'mosi. Na mwili wake unapelekwa Muhimbili kuhifadhiwa.
More updates to follow...
- JF has confirmed his death
- Source of his death unconfirmed
- Taarifa ambazo hazijathibitishwa ni kwamba Kanumba alianguka na kuumia kichwani baada ya mpenzi wake ambae anatajwa kuwa ni mwigizaji LULU kumsukuma na kuanguka wakati wanagombana.
‘Inasemekana' Kanumba wakati akijiandaa kutoka saa sita usiku aliingia bafuni kuoga, alipotoka alimkuta Lulu akiongea na mwanaume mwingine kwenye simu ndipo alipokasirika na ugomvi kuanza. - Lulu ameshikiliwa Polisi Oysterbay, inadaiwa ana majeraha pia.
- Mwili wa marehemu uko katika chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Muhimbili.
Hali ilivyo nyumbani kwa marehemu: