Juma Bundala
Member
- Mar 9, 2012
- 71
- 5
Nimesikia rfa kipindi cha michezo kuwa kanumba amefariki lkn chanzo hawaja sema,
Clouds fm live dakika zilizopita mtu aliepo nyumbani kwa marehemu, watu wanazidi kufika ndugu zake bado hawajafika.
Kanumba alikuwa anaoga wanavyodai majirani saa sita usiku alitoka bafuni kuingia chumbani eti akamkuta Lulu anaongea simu ya mapenzi na mwanaume mwingine, wakagombana na akasukumwa na kuangukia kujigonga kichwa na ndio kilichosababisha kifo chake. sasa msemaji amesema kuwa hii ndivyo inavyoelezwa pale na wanasubiri wataalamu watoe taarifa yao, inaelekea ugomvi ulikuwa mkubwa kati yao hadi majirani walisikia.
Kwa hiyo kwa sasa ni kauawa na Mpenzie
RIP
jamani kanumba ndio nani tena ndugu zangu?alale pema...
Kama ni kweli basi R.i.p kipenzi cha wengi.
Ray kapata pa kutokea sasa
wadau nimepata habari hivi punde tbc wametangaza kifo cha kanumba