Mjomba wa taifa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 231
- 161
Takwimu zisizo na shaka yoyote zinaonesha kuwa nchi ya Tanzania yenye wakazi wanaokadiriwa kuwa milioni 40 inayopatikana mashariki mwa bara la Afrika ina utajiri mkubwa kupita nchi zote duniani. Utajiri huo ni kuwa na marais wengi zaidi kuongoza kwa wakati mmoja. Tanzania hivi sasa ina marais watano katika nchi moja:- 1. Rais wa jamhuri ya muungano 2. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano 3. Rais wa Zanzibar 4. Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar 5. Makamu wa pili Rais wa Zanzibar. Hii imeingia katika records za dunia.