Tanzania yavunja rekodi ya utajiri duniani

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
231
161
Takwimu zisizo na shaka yoyote zinaonesha kuwa nchi ya Tanzania yenye wakazi wanaokadiriwa kuwa milioni 40 inayopatikana mashariki mwa bara la Afrika ina utajiri mkubwa kupita nchi zote duniani. Utajiri huo ni kuwa na marais wengi zaidi kuongoza kwa wakati mmoja. Tanzania hivi sasa ina marais watano katika nchi moja:- 1. Rais wa jamhuri ya muungano 2. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano 3. Rais wa Zanzibar 4. Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar 5. Makamu wa pili Rais wa Zanzibar. Hii imeingia katika records za dunia.
 
Rekebisha title ya ujumbe wako ndipo utaeleweka. Kumbuka, title ni mhtasari wa yale yaliyomo kwenye mada!!!
 
Sasa hapo utajri uko wapi ? Mbona gharama za kuendesha huo utajiri zinasababisha kinyume cha utajri !!!
 
kweli inaonekana unatumia sigara kubwa wewe acha uhuni leta uzi uliojitosheleza na si huu upuuzi
 
Back
Top Bottom