Habari za jioni, natumaini zoezi la sensa linaendelea vizuri huko nchini.
Habari mbaya ni kwamba wanajeshi watatu wa tanzania wamefariki dunia baada kuzama majini.
Hao ni wale wa kundi la TANZBATT 6 ambao waliondoka huko nyumbani wiki iliyopita.
Miili ya wawili imepatikana, mmoja bado, miili itarudishwa Tanzania tarehe 28 Agosti kwa ajili ya mazishi.
Taarifa hizi nimezitoa baada ya "next of kin" kutaarifiwa. Poleni sana wafiwa.
Source: Mimi mwenyewe MOSHE DAYAN.
mambo ya sudan yanawahusu nini kwa nini wasije kwao waendelee na kazi zao.
labda tungejua na majina yao jamani.
Pia wapiganaji wanapata experience na kujifunza kutoka kwa majeshi mengine hasa kwenye joint ops...,asiyejua maana, hajui maana. ukienda operation za kimataifa
(a) Unaongeza kipato chako kwani unalipwa kimataifa.
(b) Nchi inapata forex kwani unalipwa kwa dollar
(c) Ni namna pekee ambayo pesa ya ulimwengu inagawanywa.
Rwanda ni nchi ndogo sana, lakini inaongoza kwa kuwa na askari wengi wanaofanya kazi za kulinda aman nchi za nje. Kipato wa kipatacho, kinasaidia kuwekeza nchini kwao na hivyo kujiimarisha kiuchumi kama nchi
asiyejua maana, hajui maana. ukienda operation za kimataifa

Kwani huko walikuwa wanakomboaje? Ama hujui kazi ya mwanajeshi ni nini?Wakomboeje?
Kwani huko walikuwa wanakomboaje? Ama hujui kazi ya mwanajeshi ni nini?
asiyejua maana, hajui maana. ukienda operation za kimataifa
(a) Unaongeza kipato chako kwani unalipwa kimataifa.
(b) Nchi inapata forex kwani unalipwa kwa dollar
(c) Ni namna pekee ambayo pesa ya ulimwengu inagawanywa.
Rwanda ni nchi ndogo sana, lakini inaongoza kwa kuwa na askari wengi wanaofanya kazi za kulinda aman nchi za nje. Kipato wa kipatacho, kinasaidia kuwekeza nchini kwao na hivyo kujiimarisha kiuchumi kama nchi
Natumai hata maadui wa ndani nao wanapaswa kulindwa na hawa hawa wanajeshi. Kazi ya Jeshi ni kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi na raslimali zetu zisiibwe na wageni na watu wa ndani wenye uchu na mali pasi kuwa na utaratibu unaonufaisha wananchi wote. Ndiyo maana linaitwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania........