Tanzania yapoteza wanajeshi watatu Sudan

Duu hili jeshi limeshindwa kulinda mpaka wetu na Malawi linakwenda Sudan RIP masoja mliopoteza maisha

Nilivyoileta ishu ya malawi hapa jf kabla hata membe hajatoa tamko bungeni, nadhani kwako ilikua breaking news ila kwa wenye kazi zao tayari walikua tayari for anything kutoka malawi
 
  • Thanks
Reactions: Wun
Hujui unachooengea kabisa..., hujua mipaka ya mamlaka, hujui chain of command na hujui kujenga hoja.., childish comments...,
[/QUOTE]
I stand to be corrected. Mzani wako wa kunipima kwa comments zangu za kitoto nao waweza kuwa una utoto ndani yake (mere thinking). U might be thinking inside the box and taken by mere writings posted in the tpdf. web.
 
mpuuzi.., unageuka maandishi uloandika..,
Umeandika kazi za jeshi sjui kulinda maadui wa ndani blah blah blah..., nimekwambia open, tpdf.mil.tz ubongo wako upanuke ujue jeshi linafanya kazi zipi na mipaka(sio ya nchi) yao ni ipi?
 
[/QUOTE] Cant u write without a shit to someone? A u a soldier? u seem to lack tolerance to fellows. X-ters similar to people in the millitary. End of comment. If u a one of them, work hard to protect our nation boundaries and the external ones, but ensure no resources are taken by internal exploiters (those u sworn to protect) while in army having the millitary skills and ability to stop them.
 
usifundishe watu kazi..., people are working hard and some sacrifice their lives for tz flag.., like these three we are mourning

Halafu a point of correction, failed coup de tat ya january 1983 sababu haikua walanguzi kama ulivyoandika pale nyuma, sababu za mapinduzi zilikua nyingi lakn sio walanguzi
 
Natumai hata maadui wa ndani nao wanapaswa kulindwa na hawa hawa wanajeshi. Kazi ya Jeshi ni kuhakikisha ulinzi na usalama wa wananchi na raslimali zetu zisiibwe na wageni na watu wa ndani wenye uchu na mali pasi kuwa na utaratibu unaonufaisha wananchi wote. Ndiyo maana linaitwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Sijui kama ntakuwa nimekushawishi mkuu lakini ni imani yangu na msimamo wangu kuwa endapo mambo ya ndani yanakuwa shaghara baghara, lazima Jeshi lisimame kidete kuhakikisha tunarudi kwenye mstari (ndo maana nchi zingine na hata hapa kwetu in 80's mapinduzi yanatokea ili kulinusuru taifa na walanguzi na wachuuzi wa raslimali zetu).

Si lengo langu kuwakejeli ama kuwalaumu wanajeshi wetu waliofia Sudan, ila kukumbusha tu kuwa hata ulinzi wa raslimali za watanzania zinazoibwa na wachache nalo ni jukumu lao pia. Tusisafishe kwa wengine tu alhali kwetu kunaharibika (Tuondoe kibati jichoni mwetu kabla ya kuondoa machoni kwa majirani).
Aksante mkuu.
[/QUOTE]

Kwa lugha nyingine, jeshi lina jukumu la kusimamia utendaji wa serikali? Hili jipya!
 
comrade nyenyere..., kuna watu amani hii tulonayo inawafanya wawe myopic..., siku ikitokea(GOD forbid) machafuko ya ndani.., peacekeeping force ndo watasaidia sana uhai wao na familia zao..., yeye leo mishipa inamtoka tz kusaidia binaadam wenzio kuishi!!!
 
JF imevamiwa kweli kweli...... Wasiojua wamajifanya wanajua

Haya mi kwangu nimevamiwa na majambazi wacha nipige simu JW......
hahaa
 
Back
Top Bottom