Tanzania yamtosa Gaddafi

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
Tz ni mshirika mkubwa wa marekani na Marekani ndio ilio kuwa engine ya vita vya kuondoa utawala wa Gaddafi, na tusinge weza ku mpinga Marekani kwani kila kitu tuna tegemea kutoka kwake, misaada kibao. Pia nani atatujengea Kigamboni kama tukimpinga yeye na washirika wake NATO?

pTz ina kumbuka Gaddafi alivyo taka kumsaidia iddi Amini dada kupigana na Tz hadi pale makomando wa kitanzania walipo fanikiwa kuteka ndege ya libya ilio taka kumsaidia iddi amini.

hHvi vyote ndio nguzo kubwa ya kwa nini Tz imemtosa Gaddafi AU
 
Jana jion Tbc1, ktk taarifa ya habar, bernad Membe alisema hawatambui baraza la waas. Kwa maana hiyo bado wanamtambua Gaddaff.
 
Nawashauri wale waislam wenzangu wa Dodoma waliofanya dua maalum ya kumuombea muislam mwenzao Gadaf waandamane hadi ubalozi wa Libya wakachome moto ile bendera ya waasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom