Tanzania yadaiwa kujitoa kwenye Mahakama ya Afrika. Amnesty International na UN walaani hatua hiyo. Serikali yatoa ufafanuzi

Mahiga alisifiwa sana ooh mzee yule anaonekana ana busara sana sijui nini,haya sasa kazi kazi.

Watu wa chama kile wote wanafanana wanavyofikiria,wanavyotenda etc
Nikiri wazi na mimi ni mmoja wao wa watu waliokuwa wakiona mahiga ana akil sanaa.

Hebu nambie kwani katika hil anahusikaje mzee??
 
Why go straight to African Court, Local remedies must be exhausted.
 
......Kuendelea kutoka kwenye mikataba inayolinda haki za binadamu, rule of law and accountability sio jambo jema . Tunakaribisha injustices,gansterism, primitivity and barbarism.
Haya mambo yanafanyika ni hatari sana kwetu sote. Tuache kufurahia hii safari ya kuelekea shimoni.

Congrats!
Nicely put!
 
Wanakimbia kesi ya Muungano kule Arusha ,
Ali Adey na wazanzibari wenzake 40,000 wameishitaki Tanganyika kwa kuikalia Zanzibar kimabavu.
Hali si nzuri upande wao.

Mkuu imeiva mbona tokea 28/11/2019.
Screenshot_20191130-174955.png
 
Hii mahakama makao makuu yapo Arusha pale karibu na Makao makuu ya TANAPA. Kama Tanzania imeamua hivyo na wao wahamishe makao makuu wapeleke Nairobi. Hamna maana kukaa kwenye nchi ambayo haitambui mamlaka yako
Muda ni mwalimu mzuri sana ktk maamuzi. Kuna jambo linakimbiwa hapo. Mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
Back
Top Bottom