nyerere_1961.jpg


Waziri Mkuu, Mwalimu Julius Nyerere, siku ya uhuru 9 Disemba 1961

Mkuu, sasa nimeelewa kwa nini Nyerere aliwaambia Polisi kwa nini mnawazuia watu kumbeba Mrema!!!
 
Mkuu, sasa nimeelewa kwa nini Nyerere aliwaambia Polisi kwa nini mnawazuia watu kumbeba Mrema!!!
Hahaa...mambo ya jangwani siyo? ...Mchonga nae...eti waacheni wabebe.....wakichoka watamuweka chini...kwanini mnawakataza?
 
Siku hizi uhuru ni damu

kweli kabisa,our country has gone to the dogs-the price of freedom has become a burden such that even lives are at risk. God help us
 
Kama kweli Tanzania ili kuwa hivyo enzi hizo, basi tumerudi nyuma sana, sisi ni wazembe wa kufikiri na kutenda. Najua tulikuwa hivyo kwa sababu kulikuwa na wakoloni, waliotuchapa viboko kama punda!!!!!!!!!!jamani tukoje?????
 
Safi sana Pukudu

attachment.php

Zamani miji ilikuwa misafi sana

ni kweli miji ilikuwa misafi sana, lakini nafikiri uchache wa watu nao ulichangia miji kuwa misafi, manake watu tunapokuwa wengi kila mtu ana akili zake, na tabia kuzi control ni kazi sana, check hapa mtaa mkubwa mtu mmoja tu na ni mchana kweupeeee
 
800px-Arusha.jpg

Kweli tulikuwa mbali sana! hata Internet cafe zilikuweko siku hizo! ni mwaka gani vile? hapa ni Moshi? naona Mlima Kilimanjaro

nina wasi wasi kama picha hii imepigwa ENZI HIZO, inawezekana imepigwa siku ya siku ambayo watu ni wachache, check hata mlima kilimajnaro barfu ilivyokwisha, enzi hizo kipara chote cheupe, barafu tupu... mmmmh
 
Taifa+Stars+vifua+wazi.jpg

HII NDIO ILIMFANYA BABA WA TAIFA AKATAE MIALIKO YA MECHI ZA SOKA.NI 1974?? TANZANIA vs SUDAN.ANAEKAGUA TIMU NI RAIS NIMEIRI WA SUDAN.HAO NI TAIFA STARS .NAHODHA NI ABDULRAHMAN JUMA KUTOKA KUSHOTO NI CHUMA,ZIMBWE WENGINE HAWAMEKANI VIZURI

duh , hii kali, hivi walifungwa au walishinda??????????
 
Back
Top Bottom