Kweli tulikuwa mbali sana! hata Internet cafe zilikuweko siku hizo! ni mwaka gani vile? hapa ni Moshi? naona Mlima Kilimanjaro

Hapo ni Arusha na ni mtaa wa Goliondoi.Mlima unaoonekana kwenye picha ni Mlima Meru na sio Mlima Kilimanjaro
 
attachment.php


..Pure and clean blood... Hakuna cha 'ngoma' wala cha kutafuta 'rough rider':playball:... Siye wazamani tumefaidi, bana. Waliochelewa kuzaliwa watajijuuuu...
 
Akuna Cha hijabu wala buibui.hawa waarabu wametuharibu sana. Wametufanya tuchukiane. Sasa mwenzetu dini gani inazidi kukua. Watanzania tupendane. Tusichukiane kwa sababu ya tofauti za kidini. Siamini kwamba kuna dini inayoweza kufikisha mtu mbinguni Kama matendo hayatoshi mbele za HAKI?kuna sehemu hakuna ukristo na kuna sehemu hakuna uislamu.mnataka kuniambia watu hawa wote hawatakuwa na mbingu kwa ajili ya dini au watahukumiwa kufuatana na matendo yao?vipi wale wa Kabla ya Urio wa Bwana Yesu? Vipi na wale wate waliokuwepo Kabla ya Muhammad ? Mungu atawapotezea tu? Take care, Love each other.
 
Hii picha ilikuwa ni ya wasichana wa Shule ya Sekondari Weruweru na si primary. Nasema hivyo kwa sababu nilikuwa na copy ya hiyo picha enzi hizo na wengi wao humo nawafahamu.

Okay kuna yeyote ni public figure humo?
 
at least palikuwa pasafi, sio kama sasa michirizi ya maji ya mavvi kila kona, makopo manailoni!
 
Hats Mimi nimeona sign za hao watoto wa kisutu,kumbe vidole viwili imeanza long.
 
Hii picha utashangaa ukiambiwa imepigwa siku ya kazi. Enzi hizo Dar haikuwa na watu wengi na misongamano kama tunayoiona sasa.

attachment.php
 
Back
Top Bottom