kahuruku
Member
- May 14, 2013
- 75
- 35
Kilicho nifurahisha ni maadili.Angalia sketi ya Afande siyo kama sikuhizi askari wetu wakike wanavyo vaa vimini.
tulianza kutembea siku nyingi sijui tulisimama wapi!!
Independence Day
haya magari kuna baadhi ya nchi afrika bado yapo..
Kilicho nifurahisha ni maadili.Angalia sketi ya Afande siyo kama sikuhizi askari wetu wakike wanavyo vaa vimini.
Aiseee Tumetokaaa mbali sana kwa kasi hyo ya 1963 ingeendelea fresh tungekuwa mbali sana sema hapa kati tumechezea katiba,tumechezea azimio la arusha...
Enzi za Rais Kikwete
View attachment 74479
Huyo kwenye duara mbona anataka kufanania Anna Abdalla?Bila shaka walikuwa ni Kidato cha pili