Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,626
- 51,588
- Thread starter
- #41
Mdogomdogo mambo tuliyoandika baada ya uchaguzi yanaanza kuibuka! .Ni uzi na hoja sahihi kabisa.
Naona na hoja namba 2 inaanza kupiga hodi
Mdogomdogo mambo tuliyoandika baada ya uchaguzi yanaanza kuibuka! .Ni uzi na hoja sahihi kabisa.
Ardhi ya wanyonge ipi wakati yeye kajimiikisha maelfu ya Ekari huko Karagwe?