Uchaguzi 2020 Tanzania ya baada ya Uchaguzi: Taifa lililogawanyika

Uangalieni huu uzi ndugu zangu

a. Nilisema baada ya uchaguzi pesa/rushwa mlungula utatembea sana kwa watu influential ili wakae kimya

b.Kuna reforms za kuzugia zitafanywa ili kutuliza sintofahamu, wameshatangaza kurekebisha kasoro za vitambulisho vya wanachinga na kuviboresha kuliko ilivyo sasa

c. Kibinyo cha wahisani kimeanza kuchukua shape
 
Back
Top Bottom