Tanzania ya 16 duniani na ya 4 Africa kwa uzalishaji wa dhahabu lakini ya 3 duniani kwa ombaomba

Ivi hawa wanaochimba hayo madini nao hawaoni haya to operate katika nchi masikini!
Where is their social corporate responcibility mnaishia kuwau ndugu zetu kwa sumu.
Laaaaana AAAAAAAAAAAAAAA Laaaaaaaaaaaaaana Yao Milele!
 
tn_P1020336_thumb.jpg
 
Ila wasidhani wataendelea fooling arround na gold yetu milele ipo siku they shall be held accountable.
Ni vyema wakaanza maandalizi mapema na kuacha huu wizi wanaoufanya kwenye statements na kuhonga watu wakae kimya!
 
Halafu leo Wazanzibari wakisema wanataka kuchimba mafuta na gas wao mnawabeza? I think they have a point. Kama Mafuta na gas ya Zanzibar yatachimbwa na SMT yataishia kwenye individuals pockets za viongozi wa CCM Bara. Wazanzibari komaeni.
 
hata ingekua 2,200,000 tungekuwa tunasaga meno tu kwa uongozi wa kizaramo

Mkuu acha dharau..hatuna kabila linaloongoza nchi ila tuna mtu anayeongoza nchi. Mambo mengine hayana uhusiano na kabila la mtu.
 
hizi takwimu zingine zinanifanya niukane uraia maana ni aibu kujiita mtanzania.
 
hapa rafiki yangu Zitto atakujibu kwa neno moja tu "ACCOUNTABILITY"
 
Last edited by a moderator:
Tuvumilie tuuuuuuuuuu, hakuna kulalamika

hv utulie hata kama,unataka kulwa tgo.amka wewe,badirka thatha.Anza kudai haki yko,ili kizazi chako kijacho kufahd lasilimal.Kama nyerere na masela wake wangeshambulia leo,tungekua na hali mbaya zaid na hpa.Moto ukiwaka kwako huach kuzma hta kama kila ki2 kimewaka.
 
hv utulie hata kama,unataka kulwa tgo.amka wewe,badika thatha.Anza kudai haki yko,ili kizazi chako kijacho kufahd lasilimal.Kama nyerere na masela wake wangeshambulia leo,tungea na hali mbaya zaid na hpa.Moto ukiwaka kwako huach kuzma hta kama kila ki2 kimewaka.

Kaka namie nimesema hivyo maana nimepiga kelele weeeeeee lakini wapi
 
Kaka namie nimesema hivyo maana nimepiga kelele weeeeeee lakini wapi

hv wewe na wa misri nani kasota,tena cc tunauwezo hata kufunguka kwa kiasi flan.Usipige kelele ajir yko leo piga kelele leo,kesho kzazi chako kikukumbuke km unavyomkumbka nyerere na wengne waliotangulia,walfight 4 u.
 
Kuna Dr. fulani aliwahi kunifundisha chuo course inayohusana na uhifadhi mazingira na rasilimali zake. Akasema wakoloni walipofika Tanganyika waliwalaghai wakina chifu Mangungo Msovero kwa kuwapa sukari na nguo na kunyang'anya ardhi na madini yetu na hawa viongozi wetu sasa wanasaini mikatabainayoifa faida 3% kwa mrahaba huku 97% wanachukuwa wawekezaji.Akasema wale wakina Mangungo watasamehewa na Mungu lakini si hawa viongozi wetu hawatasamehewa kamwe kwani wana elimu na utashi wa kutosha na ndiyo wanafanya taifa hili kuwa masikini. Binafsi naoma kuna mambo kadhaa yanayofanya madini yetu kutokuleta faida kwa taifa la Tz.

  1. Ukosefu wa uzalendo wa kweli kwa viongozi waliopo madarakani hawalisaidii taifa kwa hali yoyote ile na inawezekana wanavitalu vyao binafsi katika migodi ile.
  2. Mikataba kutowekwa wazi kwa umma au bungeni, ni waziri husika tu na pengine rais wakishirikiana na mwanasheria mkuu wa serikali ndiyo wenye dhamana ya kusaini mikataba ya madini ambayo haina tija kwa wananchi.
  3. Wasomi wetu kukimbilia siasa badala ya kubase kwenye taaluma na wakishapata madaraka nao hugeuka wanasiasa tu na hawasaidii tena taifa na hii huchagizwa na serikali yenyewe kushindwa kuweka uwiano sawa wa maslahi kati ya wanasiasa na watumishi wa umma. hili ni tatizo kubwa mno.
Kuna nchi za Afrika zinatumia vizuri resources zao kwa manufaa ya nchi zao mfano ni Botswana madini yale yamewasaidia sana kujenga uchumi wa nchi zao hasa ukizingatia madini yenyewe ni non renewable resorces once exploited they exhoust.

 
Mlisha ambiwa msikichague chama cha maafa, hamkusikia. Wenzenue wanatanua na maVX na nyie manabakia na ukoko wa pilao na bado! Peoplesssssss. Mkombozi.
 
Hizo Source sio za kweli

Ukiangalia ya kwanza ya Dunia Tanzania tumeipita Zimbabwe
Ukiangalia ya Pili iweje Zimbabwe iwe ya Tatu Afrika badala ya Mali? na Tanzania ya Nne?

Hizo Source sio za kweli... au Moja wapo ni ya Uongo
 
Gold mining companies pay more to govt at last
Monday, 04 June 2012 08:41


06gold.jpg
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.

Giant gold mining companies, African Barrick Gold (ABG) Limited, Geita Gold Mines and Resolute Gold Mines Ltd have started abiding to the new mining law after concluding a series of negotiations with the government.

The government enacted the new Mining Act in 2010 under which, among other things, raised royalty rates across the board by basing calculations on gross profits rather than net values as before.
Royalty rates for gold are now fixed at 4 per cent, up from 3 per cent, that of uranium is 5 per cent while diamond miners will continue to pay 5 per cent.

The new Act overruns the previous Mining Act 1998 which is credited with liberalising the sector and attracting a surge in foreign direct investment. But there was an outcry to the effect that Tanzania was not getting a fair deal from the mining firms.

Both Presidents Benjamin Mkapa and Jakaya Kikwete formed a number of committees to study the shortcomings in the mining legislations and make proposals that would enable the country to benefit more from its mineral resources. Some of the proposals have been included in the new law.

But the Mining Act 2010 could not legally affect those companies that had entered minerals development agreements with the government under the previous law.

To that effect, the government went into negotiations with the miners in a bid to persuade them to adhere to some of the terms instituted under the new law, including pushing up the royalties.

The negotiations, according to sources from both the government and the mining sector, have started paying off. Discussions included other issues that were not part of the new law, including convincing the miners to accept the ring-fencing practice income tax, according to the Commissioner for Minerals in the Ministry of Energy and Minerals, Mr Ally Samaje.

Ring fencing entails limiting cost recovery for an extractive project to the revenues generated by that same project. The Income Tax Act has no provision for ring fencing on a mine-by-mine basis, leaving companies with the option of siphoning one mine’s revenues to offset another’s losses.

“We have been in good progress in our negotiations with the big gold mining companies. The three gold miners, ABG, Geita Gold Mines and Resolute have begun to pay royalties of 4 per cent.

Technically, they have graduated from paying 3 to 4 per cent in royalty as per the new mining law,” Mr Samaje said. The commissioner, who spoke on behalf of the ministry’s permanent secretary, said there were six gold mining projects that are already paying royalties and taxes under the 2010 Mining Act.

They include the four under ABG namely; Bulyanhulu, Tulawaka, Buzwagi and North Mara and Geita and Resolute gold mines.
“The fact is that the price of gold has been rising year after year. We believe gold dealers are fetching more profits now than ever before,” he said, adding:

“The supply of gold in the world market is not increasing to match the demand; hence the rise in the price of the precious metal.”
He said while in 1999 world market prices of gold ranged between $250 and $300 per ounce, now the price of gold is $1,700 per ounce, which is almost seven times the price fetched by gold dealers more than ten years ago.
“Gold mining projects now are in a better advantage than they were a decade ago. We are also in a better position to negotiate with investors so that they spread more benefits to the citizens in terms of corporate social responsibility projects,” he said.

The commissioner for minerals said that such positive developments in implementation of the new Mining Act was a welcome move that must go hand in hand with increased benefits of the mining sector to national economy.
“With these positive developments (Mhhh!), we want to see more benefits to Tanzanians, especially those surrounding the mines. This is possible through corporate social responsibility programmes,” he said.

Deputy minister for Energy and Minerals Stephen Masele also says the negotiations involved reviewing the Mining Development Agreements (MDAs) seeking to reduce grace period from 15 to 10 years for all major gold investors.
“There is a need to further educate stakeholders and Tanzanians in general on implementation of 2010 Mining Act, because a lot of developments have taken place, but many people are still harbouring doubts,” he said.

The Chairman of Tanzania Chamber of Minerals and Energy (TCME), Mr Joseph Kahama, confirmed to The Citizen that the mining firms were implementing the new law, specifically on royalty payments and new tax formula.
However, activists advocating transparency in the mining sector still hold the view that even the upped royalty is not enough yet.

Executive Director of Fordia, Mr Bubelwa Kaiza, said that since the gold mining contracts were signed in 1990s when the prices of gold were between $250 and 300, now it was justifiable to increase royalty to at least five per cent because the prices are between five to six times the prices fetched then.

“The royalty is still small when you compare to the profit the gold mining companies are earning. There are African countries, such as Ghana and South Africa, which are charging royalties of more than five per cent,” Mr Kaiza said.
He also raised concern over the secrecy that surrounds the negotiations between the government and the mining firms representatives.

However, the executive secretary of Tanzania Extractive Industries Transparency Initiative (TEITI), Mr Benedict Mushingwe, clarified that under the new mining law, all mining firms, not only the big three, should pay royalties based on the new rates.
“What has happened is thatafter negotiations, the big three gold miners have agreed to review their contracts so that they be in line with the new rates,” said Mushingwe.
He said the next financial year would see the government earn more from the mining.
 
Wazalendo! It is indeed very sad that we are in midst of all this opulence but yet we cannot make both ends meet. Na hii ni kwa sababu tunakuwa wanafiki wa kutupwa na hatutaki kuuona ukweli katika miwani yake halisi. Ebu angalia wasomi wetu ukiwauliza Tanzania tumepiga hatua baada ya kukubali masharti ya mashirika ya kifedha ya kimataifa na kukumbutia soko huria na leo utandawazi? Utawasikia wasomi wasiokuwa wasomi wataavyoongea vitu vinavyofanana. Mtu atakwambia kuwa tangu mageuzi ya uchumi yaliyohasisiwa kwa mbwembwe na awamu ya pili tumeendelea. Wanafanya hivyo kwa kuangali kipindi kifupi cha 1980-1985 Tanzania ilipopata matatizo ya kiuchumi kwanza kutokana na kupanda kwa petrol, njaa, kushuka kwa bei ya katani katika soko la dunia baada ya kugunduliwa nyuzi za nylon (synthetic fibres). Matkeo ni kokosekana kwa vitu kama sabuni, sukari, nguo na vitu vya matumizi ya kawaida (consumer goods). Lakini vitu huduma muhimu kama afya na elimu viliendelea kuwa vya bure au kwa bei ndogo na viwango (quality) ilitunzwa. Madini ambayo ndiyo yangekimbiliwa kuuzwa na mbuga za wanyama kugawiwa bure viliachwa ili visadie vizazi vijavyo.

Lakini kung'atuka kwa Mwalimu hapo 1985 ukawa ndio mwisho wa matatizo. Madini wakapewa watu nje bure. Wanyama wakatoroshwa wakiwemo hata tausi wa Ikulu. Mbuga zetu tukagawa sawa na bure na viwanja wazi wakagawana wakubwa ila kodi hawakulipa. Hivi leo unapoona mtu mwenye akili anatetea maduka kujaa nguo zisizokuwa na viwango na TV zisizokuwa na tija yeyote kwa mtumiaji ila kuishia kuangalia vichekeso na picha za ngono unapata tabu kuangalia hivi huyu mtetezi ametoka wapi. Unaacha maliasili yetu madini, gesi, wanyama na mistu wanafaihidi wachache llakini wewe unashanglia uwepo wa tv, mitumba, na rexona madukani? wewe wa kupimwa kabisa. Na watawala wetu wamelijua hilo wakiona tunaanza kufunguka macho basi watasababisha kitu kibaya kitokee watatoka kwenda hospitalli eti tuwaone kuwa ni watu wa watu. Watasimamisha misafara ili watoe pipi kwa watoto walio na utapia mlo, wasiojua shule nini, hawana cha kuvaa wao na wazazi wao, nyumba ndio kibanda cha mbuzi, maji maji watumiayo machafu na madarasani hamna vitabu, walimu wala viti na meza. Wnafanya haya yote sio kwa nia nzuri bali viini macho ili tusiangalie madhambi yao.

Watanzania tuko katika wakati mgumu kuliko yote lakini Mungu yupo na yana mwisho kama tutadhamiria na kuongozwa na hofu ya Mwenyezi Mungu ipo sikututashinda. Siku hiyo sio mbali ni wakati kokote ulipo kijiweni ujue ni kwa sababu madini na maliasili vimeporwa. Uliyeko shueni hamna vitabu,dawati,vyoo, walimu,mahabara na maktaba ujue ni kwa sababu ya madini na raslimali zinazoporwa. Wewe usiye na maji,meme, dawa, zahanati na huwezi kumudukwenda hospitali achilia mbali Apollo India uchanzo cha ufukara huo jibu unalo. Come rise up wazalendo. Wkati ndio huu tuamke tuikomboe nchi yetu through literary and literature movements and through ideologicl movements the likes of M4C
 
Mungu ibariki Tanzania. tuondolee viongozi wezi wabangaizaji hawa katika nchi yetu. Sababu zote za kuhalalisha wizi wao vikome! Amen

 
Back
Top Bottom