Tanzania ya 16 duniani na ya 4 Africa kwa uzalishaji wa dhahabu lakini ya 3 duniani kwa ombaomba

Umbumbumbu wa viongozi wetu na uroho wa kutaka wafaidi wao na fqmilia zao ndio chanzo cha kiliingiza Taifa kwenye mikataba mibovu ya uchimbaji wa madini.Pia usimamizi mbovu wa kodi na kukosa uzalendo ndio unalifikisha Taifa hapa lilipo. INANIUMA SANA JAMAA WANAIBA HATA WANYAMA WAKUBWA KAMA TWIGA kweli huu ni zaidi ya ulafi
 
Mlisha ambiwa msikichague chama cha maafa, hamkusikia. Wenzenue wanatanua na maVX na nyie manabakia na ukoko wa pilao na bado! Peoplesssssss. Mkombozi.

mkuu ni Chuma Chakavu Maskrepa




Sent from my Siemens C25 using JamiiForums
 
Haya yote tumeyataka Watanzania wenyewe. Hawa viongozi tunawachagua wenyewe. Uwezo wa kuwawajibisha tunao sisi wenye (si US, UK wala France), ila kwa umoja wetu tumekubali mambo yande yalivyo. Yes, hesabu za Oxford, 16 duniani, 4 Afrika = 1 Afrika , 3 duniani
 
hivi kumbe kenya wanatutangazia halafu hata hawapo kwenye list
 
Hivi kama tz ndo wa kwanza kwa kuwa omba omba je somalia ni ya ngapi pamoja na vita vyao vya miaka kibao je na tz tupo vitani? Je tunakabiliwa na majanga ya asili? Sasa kwanini ni masikini? Maana hata jk mwenyewe alidai hajui je yeye kutojua inamaana waTz wote hatui kwanini sisi ni masikini? Je kuna haja ya kuongozwa na viongozi wasiojua matatizo yanayoikabili nchi na wananchi wake? Da inauma na kusikitisha sana pale ninapokuwa na maswali mengi bila majibu!

jk ameahidi kuisaidia somalia
 
Back
Top Bottom