Tanzania tuitakayo! Oh my God!

Huu ni mtazamo wako kwenye hii picha kwahiyo si vema kutaka kutuaminisha kuwa wewe ndio unajua zaidi au uko sahihi kuliko wengine
Na kama ulikuwa mchafu kuliko huyu mtoto basi una haki ya kumtetea
..kama ulivosema ni mtazamo kama ulivyo wako kwaio none of us is Right,na inaonekana wewe ulikuwa msafi sana ndo maana umefikia hatua ya kuweka hatima Ya nchi in a single photograph huku ukitoa unachokiona wewe
 
Hebu twende taratibu hii picha umeielewaje kwani? Maana naona unataja hatima ya nchi hapa
 
Mtoto kama huyu akifika home kichapo kwa kwenda mbele mpaka ajifunze kuwa msafi.
Inaonyesha familia hapo sio masikini nyumba ya bati tofali za kuchoma lakini wapambe nuksi watakwambia mtoto kachafuliwa na CCM bila aibu.
Wakati dogo anaonekana tukutu la uchafu lenyewe
 
..sio picha ndo inatoa maudhui halisi Ya heading??
Lazima kuwe na link kati ya maudhui na heading kwakuwa heading ingebaki hiyo hiyo lakini kwenye picha nikaweka magorofa yale ya post a na barabara za BRT hakika mjadala usingekuwa huu
 
Mtoto kama huyu akifika home kichapo kwa kwenda mbele mpaka ajifunze kuwa msafi.
Inaonyesha familia hapo sio masikini nyumba ya bati tofali za kuchoma lakini wapambe nuksi watakwambia mtoto kachafuliwa na CCM bila aibu.
Wakati dogo anaonekana tukutu la uchafu lenyewe
Hivi ccm kweli yenyewe ilivyo chafu inaweza kumchafua mwingine tena? BTW ni nani kaitaja ccm hapa kwanini kuna huku kujistukia?
 
Kwa hivyo unataka kutuaminisha kuwa jukumu la kumfanya mwanao kuwa msafi na mtanashati ni la serikali?
Huyo mtoto kufundishwa usafi wake Binafsi tunahitaji serikali ya CCM?
Ule utafiti wa wanne kwa mmoja Unaweza kuwa una kuhusu bila shaka.
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Watanzania wanaojua kulaumu hata uzembe wao wa kutotimiza wajibu.
Ukombozi wa fikra unahitajika ktk hii Jamii kuliko kitu chochote.
Ukiwaza harakaharaka au kwa kukurupuka pasipo kufikiri utakuja na majibu kama haya. Wewe mtoto anakaa chini, darasani ni vumbi tupu unategemea nini? Wazazi kutwa nzima wanahangaikia maji ya kunywa na kupikia, watoto wanaenda shulen kufyatua matofali ya kuchoma, mtoto hapati milo mitatu kwa siku.... Mkuu kama wewe ulisoma shule nzuri wenzako tumepitia mazingira magumu sana is not about mzazi kushindwa ni mazingira yanayomzunguka mtoto.
 
Watoto kama huyu ni wakutandikwa bakora za kutosha wazazi wamenunua sare za shule wao wanaenda kuchezea kwenye mavumbi sisi wenyewe wazazi tumesoma shule hizo hizo lakini tulikuwa haturudi nyumbani tuko kama vinyago!

-Nyerere-
kuvaa sare safi hakuondoi uhuru wa mtoto mkuu
 
Kwa hivyo wajibu wa mzazi ni kuzaa tu....
Hata usafi wa mwanae serikali ya CCM imfanyie?
Watanzania ama kweli katika wanne............ Kichaa
Tembea uone........Mfn:Nenda Cheleweni Shule ya msingi-Tunduru hukooo...ndo utaelewa kinachozungumziwa hapa................SHIDA YA KUSOMA MKIWA MBEBWA KWENYE MAGARI YA NJANO
 
Ndio mana serikali ya awamu hii ya tano inajaribu kukusanya kodi ili kila mwananchi apewe huduma sawa..Cha kujiuliza je wewe unalipa kodi halali,,, Tulipeni kodi halali kila mwananchi ili tuwe na nguvu ya kuidai serikali huduma bora
 
Kibubu hakijajaa tuu?
 
CCM chini ya Mwinyi, Mkapa, na Kikwete ilikuwa ni majanga tupu maana wale marais walikuwa ni wezi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom