DuuuuuWatoto kama huyu ni wakutandikwa bakora za kutosha wazazi wamenunua sare za shule wao wanaenda kuchezea kwenye mavumbi sisi wenyewe wazazi tumesoma shule hizo hizo lakini tulikuwa haturudi nyumbani tuko kama vinyago!
-Nyerere-
Kwa hiyo mkuu unataka kusema hapa CCM haijatimiza wajibu wake!!!!!!!!?? I'm just curious
Wanaomlea wanajikwamua weee, anafaulu kwenda chuo kikuu..
Naam, hii ndiyo Tanzania ya Magufuli anayoitaka
the reason why ur luck...!that's why I hate politik