Tanzania swaps old J-7 fighters for new ones J-7G & J-7N from CHINA

that was nothing can u tell me where are the 100 man strong USA special force disappeared too? hata jeshi chakafu kama liko na uptodate info laweza kushinda vita, pentagone was providing the UN army with both air and saterite data, so why not finish the m23 who had no air support or saterite data?
 
In peace time priority kubwa ya resources huelekezwa kwenye social-economic developments.. Barabara, maji, elimu, afya etc. Na during War time resources huwekezwa kwenye zana zinazoendana na mahitaji ya kipindi hicho.. Mwaka 1978 tukiwa na hizi ndege zilikua juu kwa wakat huo ila bado vita ya kiuchumi inamahitaji mengi kwetu kuliko military hardwares kwa sasa.. Kuirusha Shenyyang J-7 Horsepower 1850 lisaa moja hewan inakunywa lita 100 za mafuta (bei ya mafuta ya ndege ni kubwa kuliko mafuta mengne yoyoye) na kila ikishuka huitaji service nyepesi na chek up.. Sniper rifle moja tu complete set aina ya Chey Tac inauzwa USD 11,200 zaidi hata ya Altezza na inabidi uwe nazo za kutosha kama unataka effective force... kwa kifupi hizi mashine ni BIG LIABILITY ndio maana vita nying ya Mmarekani inakua na benefit factor hata kule Afghanistan kwenye jangwa bado Mmarekani atafaidika kama akifanikiwa cz Ugaidi ndio tishio kuu la Uchumi wa Marekani kuliko hata China na India... hivyo vita ya kiuchumi tunayopigana na majirani zetu sasa inabidi ipewe priority zaid na kuhakikisha hatuingii kwenye mgogoro wowote un-necesaary.. Vita yoyote kwa sasa ni kuufanya uchumi wetu uendelee kua tegemezi kwa majiran zetu achilia mbali Ulaya na Amerika. Tayar tunalikata gap la kiuchumi kwa kasi kati yetu na Kenya ambalo pia ukiachilia mambo mengine lilichangiwa kwa kias kikubwa na vita yetu na Uganda so to me mtu kama Kagame asiangaliwe kama shujaa sana kwa kuwa na Sukhoi 6 ambzo ki ukweli ni show off tu cz huwez rusha sukhoi 30 kumpiga Kony utakua huna akili timamu.. Kony anapigana na ww kwa AK-47 (million 1) ww unampiga na Sukhoi (billion 300) plus fuel & technical costs halafu inaweza ikapata mechanical failure ikaanguka km zile Mi-24 za Uganda zilivyo anguka Kenya kwa kifupi utakua mpumbavuu. Uganda tutampiga vzur kwa kuhakikisha hatujiingizi kwenye mgogoro wowote na yeye then after 30 yrs Sukhoi zitakua outdated grounded hazijafanya kaz yoyote watapima wenyewe sasa kama zina manufaa au laa.. Na hii tutafanya kwa kuhahakisha Great Lakes Region inakua peacefull kama tulivyoanza Congo. Uwekezaji tunaoufanya sisi kwenye silaha sio mbaya so far bajet inaonyesha 0.2% of GDP inaenda kwenye ulinzi ingawa ki ukweli inazidi ila kiusalama wacha dunia ijue hiyo hiyo.. Ila bado UFISADI unatuumiza. Tungeweza kua na best hardwares zaid ya tulizo nazo. We'r best in trainings, tactics, utayar na vijana wetu ni bora zaid kimapambano hiyo ndio rasilimali ya kwanza anayedhani kununua hardwares is as easy as order Spacio from Japan atakua ni mtoto wa shule na asiwe front mno kuongelea mambo makubwa asiyoyajua.

You have saidi it well...kuna watu walisema watanunua au wataachiwa drones za msaada sijui watakuwa wanafuatilia wizi wa mifugo na mapigano ya kikabila. Maana ndio naona yamechachamaa kwao. Ndio hiyo kazi ya drone kweli?
 
Interesting article....some chaps are so knowledgeable about defense issues. Amazing!!
 
Mkuu nimekusoma. Ndivyo Brgd. Gen Mwakibolwa alivyowasoma m23 na kuwasafisha! Kazi kubwa kule Goma ilifanywa na vikosi vya mizinga na makomandoo wa Tz!. Ukijenga uwezo kwa vikosi vya mizinga na ground troops in general,umeyashinda majeshi karibu yote ya nchi za Africa!
Tz

vifaa vya kisasa na teknolojia mpya vina mchango ktk vita au ulinzi kwa kipindi hichi... tusitegemee ujuzi wa vita vya mstuni (golira war)
 
vifaa vya kisasa na teknolojia mpya vina mchango ktk vita au ulinzi kwa kipindi hichi... tusitegemee ujuzi wa vita vya mstuni (golira war)
Kwa technology bado tuko nyuma inchi za kiafrika nyingi ikiwemo Tanzania hata East African tu Kenya na Rwanda wapo juu kijeshi,.
Ni vile watanzania tunajua kusifia hata vitu amnavyo Si kweli .
Tunatawaliwa na Uongo kwa sababu serikali inajua raia wengi ni mburula utasikia eti GDP ya taifa imekuwa kwa 6%!
Serikali yenye ukuaji mkubwa wa uchumi haiwezi kudhurum hela za msaada wa hanga wa matetemeko
 
Kwa technology bado tuko nyuma inchi za kiafrika nyingi ikiwemo Tanzania hata East African tu Kenya na Rwanda wapo juu kijeshi,.
Ni vile watanzania tunajua kusifia hata vitu amnavyo Si kweli .
Tunatawaliwa na Uongo kwa sababu serikali inajua raia wengi ni mburula utasikia eti GDP ya taifa imekuwa kwa 6%!
Serikali yenye ukuaji mkubwa wa uchumi haiwezi kudhurum hela za msaada wa hanga wa matetemeko

Unajuaje kuwe teknolojia ya kivita ya Tanzania ipo nyuma ya Kenya na Rwanda?

Umetumia vigezo gani? Vifaa vyote vya kivita unavifahamu?
 
No nzuri inapendeza.. Hii inamaanisha tumekuwa tayari kwa lolote linaloweza kujitokeza..
 
Na ndio policy ya jeshi la aina yetu.."defence" yaan we defend our territory sisi sio kama Egypty au Ethiopia wale sera zao tofauti so we mainly need Interceptors rather zenye Multirole capability.. Tunajenga capability kubwa kwenye ground troops hapa ndio penyewe.. African Air Forces ni ndogo mno ukipiga ndege 10 tu umemaliza Air force ya mtu mfano Kaguta anatamba na hizo Sukhoi ila anazo 6 tu. So ukitengeneza SAM Battalion ya maana tena ya SA-6 tu hakusumbui halafu unapeleka Reconaissance Special Forces wakupe precise location ya valuable targets usiku unapaki MLRS A-100 na MS-2 ambazo tunazo unasafisha uwezo wote wa adui hakuna cha Sukhoi wala F-5 za wakenya kesho yake ground troops zinasonga mbele hivi ndivyo medani zinavyofanya kazi..
PK aliishia sana kuzitaka MLRS lakini hakuuziwa
 
Ni vizuri. Kubadili hali ya zana zetu za kivita, for sure bado tuko nyuma sana kwenye hili..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sio hili Tanzania tupo nyuma sana kwa kila kitu..
 
Back
Top Bottom