Tanzania swaps old J-7 fighters for new ones J-7G & J-7N from CHINA

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Helmoed-Römer Heitman, Pretoria - IHS Jane's Defence Weekly

The Tanzanian People's Defence Force (TPDF) Air Wing has quietly replaced its 12 old CAC J-7 fighters with 14 new J-7s, a usually reliable source has told IHS Jane's .

The TPDF now has 12 single-seat J-7G (Tanzanian designation F-7TN) and two dual-seat J-7N (designated FT-7TN) aircraft. They were apparently ordered in 2009, with the deliveries completed in 2011. The fighters are now fully operational at to Dar es Salaam and Mwanza air bases.

The Tanzanian fighters differ from the J-7s supplied to Namibia and Nigeria in 2009 and 2010 respectively in having a new Chinese fire-control system that uses the KLJ-6E Falcon radar, whereas the Namibian and Nigerian aircraft have a Selex Galileo Grifo 7 radar.

Pakistani_Chengdu_J-7.jpg

A PAF F-7PG

j7uav_01.jpg

j7_01.jpg

List of F-7MG Overseas Customers
CountryDesignationNumberTrainer VersionNumber
PakistanF-7PG57FT-7PG9
BangladeshF-7BG/BGI12/16FT-7BG/BGI4/4
NamibiaF-7NM12FT-7NG2
NigeriaF-7NI*12FT-7NI3
Sri LankaF-7GS#6----
TanzaniaF-7TG5?FT-7TG?1?

* Three reportedly crashed between 2011 and 2012.
# One F-7GS shot down an LTTE Zlin-143 with a PL-5E AAM on September 9, 2008.

Air Platforms;source IHS Jane 360
 
Oh CHINA don´t take all what we have got… Tuliponunua MIG21 toka USSR then tulilipa hatukukopa...
 
hivi hakuna sheria onayombana muuzaji kutokutoa taarifa za manunuzi ya mteja wake ktk biashara ya zana za kivita?ama kweli wazungu wanajuwa kutuchonganisha.namna hii dictator PK akiona si anaweza akafanya kufuru ya manunuzi ya zana advance zaidi.
 
Ni vizuri. Kubadili hali ya zana zetu za kivita, for sure bado tuko nyuma sana kwenye hili..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hivi hakuna sheria onayombana muuzaji kutokutoa taarifa za manunuzi ya mteja wake ktk biashara ya zana za kivita?ama kweli wazungu wanajuwa kutuchonganisha.namna hii mtu dictotor kama PK akiona si anaweza akafanya kufuru ya manunuzi ya zana advance zaidi.

Vita siku hizi ni mipango! Mrusi alikuwa na teknologia smart lakini alishindwa kufua dafu kwa Talban. Hali kadhalika mmarekani, naye kashindwa ndiyo maana sasa ameamua kufanya mazungumzo na Talbani.

Pia Zana hazitoki bila msiko! Uchumi wa Rwanda ni mdogo sana! Ununuzi wa silaha ungekuwa mwepesi kihivyo ndugu, Sadama hata Irani wangeshazimiliki zamani.
Tena wangeshatimiza azima yao dhidi ya mataifa ya Magharibi na Israel!
 
Oh CHINA don´t take all what we have got… Tuliponunua MIG21 toka USSR then tulilipa hatukukopa...
Nilidhani zile mig21 ni za kichina pia, maana ziliitwa SHENGYANG MIG 21, yaani design ni ya Urusi lakini zimetengenezwa China
 
Vita siku hizi ni mipango! Mrusi alikuwa na teknologia smart lakini alishindwa kufua dafu kwa Talban. Hali kadhalika mmarekani, naye kashindwa ndiyo maana sasa ameamua kufanya mazungumzo na Talbani.

Pia Zana hazitoki bila msiko! Uchumi wa Rwanda ni mdogo sana! Ununuzi wa silaha ungekuwa mwepesi kihivyo ndugu, Sadama hata Irani wangeshazimiliki zamani.
Tena wangeshatimiza azima yao dhidi ya mataifa ya Magharibi na Israel!

mmh!acha kwanza Moshe Dayan aje.tupo pamoja ndg.
 
Last edited by a moderator:
Uganda wako na sukhoi 30 ni 4generation warplane,rwanda wako na apache helicopters ,
 
Team MUKAMASIMBA kuna mdau kasema eti kanchi kenu rwanda haka afford kununua hizo jet fighters.njooni mkubari au mkanushe.
 
Last edited by a moderator:
hivi hakuna sheria onayombana muuzaji kutokutoa taarifa za manunuzi ya mteja wake ktk biashara ya zana za kivita?ama kweli wazungu wanajuwa kutuchonganisha.namna hii dictator PK akiona si anaweza akafanya kufuru ya manunuzi ya zana advance zaidi.

Hapana Ununuzi wa SILAHA KALI ZA KIVITA sio siri lazima Organization ya Wauzaji wa SILAHA HIZO waelezwe na pia watoe ruksa; wakipinga una Maana hautauziwa hizo silaha mfano mzuri ni IRAN na NORTH KOREA hawauziwe ndege za kivita walizonazo mfano N KOREA ni MIG 21 na ndio mafundi wao wanatumiwa kuzitengeneza hata zile za CUBA

*** Ndio maana nchi yetu tusingekuwa hivi kama sio VITA na IDD AMIN; Makampuni mengi ya Army Contracts mfano Raytheon Company - hawakutaka kuiuzia Tanzania silaha hivyo ikabidi tununue toka kwa walanguzi; hii ni mpango wa IMF na World Bank kujaribu kuondoa some of the countries extensive FOREIGN RESERVES&#8230; tulikuwa na <gold kibao;
 
Nilidhani zile mig21 ni za kichina pia, maana ziliitwa SHENGYANG MIG 21, yaani design ni ya Urusi lakini zimetengenezwa China

Yeah na hazitengenezwi tena Technology ya zamani; kwahiyo tunataka MPYA sababu za MWANZA - MIG21 ambazo ndio Warusi walikuwa wanatrain ziko graunded kwa muda mrefu sana&#8230;
 
hivi hakuna sheria onayombana muuzaji kutokutoa taarifa za manunuzi ya mteja wake ktk biashara ya zana za kivita?ama kweli wazungu wanajuwa kutuchonganisha.namna hii dictator PK akiona si anaweza akafanya kufuru ya manunuzi ya zana advance zaidi.

PK hawezi kufanya kufuru yoyote kwa sababu jeshi lake ni tegemezi. US iliwahi kuiadhibu Rwanda kwa ajili ya ishu ya M23, waliwanyima dola laki mbili tu, PK alikuwa mdogo kweli!
 
Tatizo la hizi j-7 ni nzuri kwa kama interceptor kufuatana na kua na Air to air missile zenye infrared homing capability,kwahiyo at least kwa kuengage enemies aircraft ziko njema.
Lakini second capability yake kama fighter kwa maana ya uwezo wa kuengage air to ground in a bombing mission bado ziko na shortcoming kwa maana zinatumia free fall bombs badala ya guided missile.
 
Helmoed-Römer Heitman, Pretoria - IHS Jane's Defence Weekly

The Tanzanian People's Defence Force (TPDF) Air Wing has quietly replaced its 12 old CAC J-7 fighters with 14 new J-7s, a usually reliable source has told IHS Jane's .

The TPDF now has 12 single-seat J-7G (Tanzanian designation F-7TN) and two dual-seat J-7N (designated FT-7TN) aircraft. They were apparently ordered in 2009, with the deliveries completed in 2011. The fighters are now fully operational at to Dar es Salaam and Mwanza air bases.

The Tanzanian fighters differ from the J-7s supplied to Namibia and Nigeria in 2009 and 2010 respectively in having a new Chinese fire-control system that uses the KLJ-6E Falcon radar, whereas the Namibian and Nigerian aircraft have a Selex Galileo Grifo 7 radar.

View attachment 121681

A PAF F-7PG

View attachment 121683

View attachment 121685

List of F-7MG Overseas Customers
CountryDesignationNumberTrainer VersionNumber
PakistanF-7PG57FT-7PG9
BangladeshF-7BG/BGI12/16FT-7BG/BGI4/4
NamibiaF-7NM12FT-7NG2
NigeriaF-7NI*12FT-7NI3
Sri LankaF-7GS#6----
TanzaniaF-7TG5?FT-7TG?1?

* Three reportedly crashed between 2011 and 2012.
# One F-7GS shot down an LTTE Zlin-143 with a PL-5E AAM on September 9, 2008.

Air Platforms;source IHS Jane 360

Kwani tunahitaji kununua ndege za kivita? Ni uharibifu wa kodi.
 
Back
Top Bottom