Tanzania swaps old J-7 fighters for new ones J-7G & J-7N from CHINA

Tenda ya new destroyers bado ipo on anatafutwa supplier atakae toa dau kubwa (Rushwa kubwa) ila nadhani kabla ya 2015 lazima zitanunuliwa tu kabla uongozi haujabadilika wasije wakakosa hata hiyo rushwa ndogo wanayopewa sasa hivi

teh teh teh nchi hii bhana!deal za wakubwa.
 
this is ridiculous... these are chinese copy of Mig 21 very old fighters with outdated technology ni design ya mwaka 1952 in russia..... uganda had recently bought 5 sukhoi 30 very modern fighters..... 10 of this j7 can be downed by single sukhoi 30 in a single sort!!!
 
23px-Flag_of_Uganda.svg.png
Uganda
  • Ugandan Air Force ordered 6 Su-30MK2s in 2010.[SUP][38][/SUP][SUP][39][/SUP] The last two aircraft from the order were delivered in June 2012.[SUP][40][/SUP]
  • 220px-SU-30_MKI_Lajes.JPG
 
In peace time priority kubwa ya resources huelekezwa kwenye social-economic developments.. Barabara, maji, elimu, afya etc. Na during War time resources huwekezwa kwenye zana zinazoendana na mahitaji ya kipindi hicho.. Mwaka 1978 tukiwa na hizi ndege zilikua juu kwa wakat huo ila bado vita ya kiuchumi inamahitaji mengi kwetu kuliko military hardwares kwa sasa.. Kuirusha Shenyyang J-7 Horsepower 1850 lisaa moja hewan inakunywa lita 100 za mafuta (bei ya mafuta ya ndege ni kubwa kuliko mafuta mengne yoyoye) na kila ikishuka huitaji service nyepesi na chek up.. Sniper rifle moja tu complete set aina ya Chey Tac inauzwa USD 11,200 zaidi hata ya Altezza na inabidi uwe nazo za kutosha kama unataka effective force... kwa kifupi hizi mashine ni BIG LIABILITY ndio maana vita nying ya Mmarekani inakua na benefit factor hata kule Afghanistan kwenye jangwa bado Mmarekani atafaidika kama akifanikiwa cz Ugaidi ndio tishio kuu la Uchumi wa Marekani kuliko hata China na India... hivyo vita ya kiuchumi tunayopigana na majirani zetu sasa inabidi ipewe priority zaid na kuhakikisha hatuingii kwenye mgogoro wowote un-necesaary.. Vita yoyote kwa sasa ni kuufanya uchumi wetu uendelee kua tegemezi kwa majiran zetu achilia mbali Ulaya na Amerika. Tayar tunalikata gap la kiuchumi kwa kasi kati yetu na Kenya ambalo pia ukiachilia mambo mengine lilichangiwa kwa kias kikubwa na vita yetu na Uganda so to me mtu kama Kagame asiangaliwe kama shujaa sana kwa kuwa na Sukhoi 6 ambzo ki ukweli ni show off tu cz huwez rusha sukhoi 30 kumpiga Kony utakua huna akili timamu.. Kony anapigana na ww kwa AK-47 (million 1) ww unampiga na Sukhoi (billion 300) plus fuel & technical costs halafu inaweza ikapata mechanical failure ikaanguka km zile Mi-24 za Uganda zilivyo anguka Kenya kwa kifupi utakua mpumbavuu. Uganda tutampiga vzur kwa kuhakikisha hatujiingizi kwenye mgogoro wowote na yeye then after 30 yrs Sukhoi zitakua outdated grounded hazijafanya kaz yoyote watapima wenyewe sasa kama zina manufaa au laa.. Na hii tutafanya kwa kuhahakisha Great Lakes Region inakua peacefull kama tulivyoanza Congo. Uwekezaji tunaoufanya sisi kwenye silaha sio mbaya so far bajet inaonyesha 0.2% of GDP inaenda kwenye ulinzi ingawa ki ukweli inazidi ila kiusalama wacha dunia ijue hiyo hiyo.. Ila bado UFISADI unatuumiza. Tungeweza kua na best hardwares zaid ya tulizo nazo. We'r best in trainings, tactics, utayar na vijana wetu ni bora zaid kimapambano hiyo ndio rasilimali ya kwanza anayedhani kununua hardwares is as easy as order Spacio from Japan atakua ni mtoto wa shule na asiwe front mno kuongelea mambo makubwa asiyoyajua.
 
salute sana mkuu mossad007, kaka kwa ufupi unatisha na maelezo yako yameenda shule. Yes indeed we need an economic mobilization more than anything

Last edited by a moderator:
siku m7 na kagame wakilianzisha ndo utajua umuhimu wa ndege za kivita.

M7 mtapigana naye kwa hayo maskrepa ya kizamani? Tatizo watanzania mmezidi magumashi mpaka kwenye vitu vya maana mnapiga panga, radar mliuziwa reject ya enzi za mkoloni, leo tena mnazidi kununua midege ya enzi za VITA VYA KAGERA
 
Last edited by a moderator:
M7 mtapigana naye kwa hayo maskrepa ya kizamani? Tatizo watanzania mmezidi magumashi mpaka kwenye vitu vya maana mnapiga panga, radar mliuziwa reject ya enzi za mkoloni, leo tena mnazidi kununua midege ya enzi za VITA VYA KAGERA

Vita vya kwenye key board vimeanza. Kila mtu mjuaji. Huu ndio ujinga wa mtanzania!
 
Last edited by a moderator:
Vita vya kwenye key board vimeanza. Kila mtu mjuaji. Huu ndio ujinga wa mtanzania!

ujinga ni upi? aliyejisifia kununua outdated military aircraft ni mjinga zaidi kuliko aliesema kua hizi ndege ni outdated bora izo ela zingenunua SAM batteries ili kujilinda na izo ndege za kisasa kama tukivamiwa imagine a pilot unapanda izi chinese copy za mig 21 alafu unajua unaenda kufanya dog fight na mtu mwenye sukhoi 30 kama za uganda its suicide!!!!
 
Vita vya kwenye key board vimeanza. Kila mtu mjuaji. Huu ndio ujinga wa mtanzania!

Kwa akili yako wewe unaona ni sawa kununua hiyo midege ya zamani? Unataka wote tuseme "ndiyo mzee"!...haya, sema wewe mjuaji, SHAME!
 
this is ridiculous... these are chinese copy of Mig 21 very old fighters with outdated technology ni design ya mwaka 1952 in russia..... uganda had recently bought 5 sukhoi 30 very modern fighters..... 10 of this j7 can be downed by single sukhoi 30 in a single sort!!!

Rushwa kwanza mengine baadae mapimbi wanaofanya kila decision nchi hii ni very corrupt wanajiangalia wao na familia zao tu hawajali kabisa maslahi ya nchi na unaweza kuta hizo J7 wameuziwa kwa bei ya Sukhoi 30 Very stupid ole wenu ipo siku tutafukua tu makaburi yenu na kuwatandika viboko huko huko usingizini mwa mauti
 
In peace time priority kubwa ya resources huelekezwa kwenye social-economic developments.. Barabara, maji, elimu, afya etc. Na during War time resources huwekezwa kwenye zana zinazoendana na mahitaji ya kipindi hicho.. Mwaka 1978 tukiwa na hizi ndege zilikua juu kwa wakat huo ila bado vita ya kiuchumi inamahitaji mengi kwetu kuliko military hardwares kwa sasa.. Kuirusha Shenyyang J-7 Horsepower 1850 lisaa moja hewan inakunywa lita 100 za mafuta (bei ya mafuta ya ndege ni kubwa kuliko mafuta mengne yoyoye) na kila ikishuka huitaji service nyepesi na chek up.. Sniper rifle moja tu complete set aina ya Chey Tac inauzwa USD 11,200 zaidi hata ya Altezza na inabidi uwe nazo za kutosha kama unataka effective force... kwa kifupi hizi mashine ni BIG LIABILITY ndio maana vita nying ya Mmarekani inakua na benefit factor hata kule Afghanistan kwenye jangwa bado Mmarekani atafaidika kama akifanikiwa cz Ugaidi ndio tishio kuu la Uchumi wa Marekani kuliko hata China na India... hivyo vita ya kiuchumi tunayopigana na majirani zetu sasa inabidi ipewe priority zaid na kuhakikisha hatuingii kwenye mgogoro wowote un-necesaary.. Vita yoyote kwa sasa ni kuufanya uchumi wetu uendelee kua tegemezi kwa majiran zetu achilia mbali Ulaya na Amerika. Tayar tunalikata gap la kiuchumi kwa kasi kati yetu na Kenya ambalo pia ukiachilia mambo mengine lilichangiwa kwa kias kikubwa na vita yetu na Uganda so to me mtu kama Kagame asiangaliwe kama shujaa sana kwa kuwa na Sukhoi 6 ambzo ki ukweli ni show off tu cz huwez rusha sukhoi 30 kumpiga Kony utakua huna akili timamu.. Kony anapigana na ww kwa AK-47 (million 1) ww unampiga na Sukhoi (billion 300) plus fuel & technical costs halafu inaweza ikapata mechanical failure ikaanguka km zile Mi-24 za Uganda zilivyo anguka Kenya kwa kifupi utakua mpumbavuu. Uganda tutampiga vzur kwa kuhakikisha hatujiingizi kwenye mgogoro wowote na yeye then after 30 yrs Sukhoi zitakua outdated grounded hazijafanya kaz yoyote watapima wenyewe sasa kama zina manufaa au laa.. Na hii tutafanya kwa kuhahakisha Great Lakes Region inakua peacefull kama tulivyoanza Congo. Uwekezaji tunaoufanya sisi kwenye silaha sio mbaya so far bajet inaonyesha 0.2% of GDP inaenda kwenye ulinzi ingawa ki ukweli inazidi ila kiusalama wacha dunia ijue hiyo hiyo.. Ila bado UFISADI unatuumiza. Tungeweza kua na best hardwares zaid ya tulizo nazo. We'r best in trainings, tactics, utayar na vijana wetu ni bora zaid kimapambano hiyo ndio rasilimali ya kwanza anayedhani kununua hardwares is as easy as order Spacio from Japan atakua ni mtoto wa shule na asiwe front mno kuongelea mambo makubwa asiyoyajua.

I repeat this boss I envy you
Very good analysis ni kweli sasa hivi tunapaswa kupigana zaidi vita ya kiuchumi dhini ya umasikini na sio kuweka msisitizo kwenye ununuzi wa silaha tukishakuwa na uchumi imara tunaweza nunua silaha za kisasa lakini tusidharau umuhimu wa kujilinda pia nadhani umeona mwaka jana Malawi alichotaka kufanya bila mkwara wa nguvu tuliompiga kimya kimya (nadhani wajuzi wa mambo mnalitambua hilo hatuwezi weka hadharani) angeendeleza tu fyoko fyoko zake shida yangu ni kuwa hizo pesa kidogo tunazotenga kununua silaha hatuzitumii ipasavyo zaidi ya robo au karibu na nusu zinarudi nchini kwa rushwa yaani rushwa imetawala sana na ukizingatia hii ni idara nyeti CAG hapiti huko so wanajifanyia watakavyo na aina ya silaha wanazonunua sometimes wanakurupuka wakitanguliza maslahi yao binafsi mbele
 
In peace time priority kubwa ya resources huelekezwa kwenye social-economic developments.. Barabara, maji, elimu, afya etc. Na during War time resources huwekezwa kwenye zana zinazoendana na mahitaji ya kipindi hicho.. Mwaka 1978 tukiwa na hizi ndege zilikua juu kwa wakat huo ila bado vita ya kiuchumi inamahitaji mengi kwetu kuliko military hardwares kwa sasa.

Vita ni amani.Ukipigana vita za uchumi unapigania amani watu wasiwe na shida za kiuchumi wakaanzisha vita za kisiasa na za msituni.

Nchi ikiwa na amani huweki silaha chini kuna kazi ya ku-maintain peace bado utahitaji silaha mpya per population growth rate sababu ulinzi huongezeka kutokana na ongezeko la watu na utajiri wao.Iwe wakati wa amani au vita utahitaji zana za kisasa za ulinzi na vita na askari wengi zaidi wa kisasa kupambana na changamoto za ulinzi wa kizazi cha kisasa.

Unless uwe unaongelea amani from point of view ya kiraia lakini tafsiri ya amani ya kiraia na ya kijeshi ni vitu viwili tofauti.Kwa raia nchi kuwa na amani ni yeye mfano kunywa baa usiku kucha hadi asubuhi bila kibaka kumvamia wakati amani kwa mwanajeshi ni kukesha na silaha kali za kisasa kumlinda mlevi aliyeko baa anayelewa usiku kucha asivamiwe na kibaka wa bomu au nondo.

Kipindi kinachoitwa cha Amani kwa mwanajeshi ni hakipo ila kwa raia kipo ndio maana huwa raia wanakuwa na longo longo sana wakiona bajeti ya vifaa vya kivita inapanda wakati vita haipo wanawaza iende elimu,afya n.k hawaelewi amani haiji ila kwa ncha ya upanga mpya,ulionolewa barabara na wa kisasa.
 
Mnagombana kwa kujua vichache tu kati ya vingi msivyovijua.... Jeshi letu liko imara na liko tayari kwa lolote.
 
Consider the word "priority"
 
Kama ninge kuwa mshauri wa maswala ya kiusalama ningeishauri serikali yafuatayo:

1. Hakikisha pengo kati ya wenye nacho na wasio nacho haiwi kubwa sana. Hakikisha vijana wana ajira (an ideal mind is the devil's workshop). Hakikisha watawala hawaonyeshi wazi wazi utajiri wao. Hii itazuia elements ya kutokea uhaini ndani ya nchi. Tukumbuke hamna vita mbaya kama civil war. Hii haiishi na hamuwezi kusema tu "we surrender" kwa sababu inatokea ndani ya mipaka yenu.

2. Boresha sekta ya elimu. Uki boresha elimu utakua na raia wenye uelewa. Kwa maana huta kuwa na raia wanao danganyika kirahisi. Usipo fanya hivyo utashangaa -------- mmoja ana fanya mahubiri na kushawishi watu wafanye matendo ya uvunjifu wa amani. Narudia, taifa lenye elimu ni muhimu sana kwani bila elimu ya kutosha wengi sana watakua watu wa kudanganyika kirahisi.

3. Tuachane na undugunization na tuhakikishe tuna vetting ya nguvu linapo kuja kwenye vyeo vinavyo deal na national security. Hii iwe kuanzia nafasi za kisiasa na nafasi zingine kama jeshini, polisi, usalama wa taifa nk. Tusipo fanya hivi tuta kua na incompetent people kwenye nafasi muhimu za kiusalama na tunaweza tuka jikuta tuna raia wengi wa kigeni kwenye vyombo vya usalama. Again hii ni internal threat...wala huja pigwa na mtu yoyote toka nje bado.

4. Secure our borders and strengthen our immigration services. Tuhakikishe wageni hawaingii ingii hovyo wasije waka tuumiza tokea ndani. Mfano mzuri ni Westgate. Hapa tena tunaona ni shambulizi la ndani kwa ndani.

5. Utaifa na uzalendo uhubiriwe kama dini. A nation divided is a nation waiting to fall. Tusipo kuwa na utaifa na uzalendo ni rahisi hata maadui wa ndani (again internal threats) kutu vuruga muda mrefu hata kabla adui wa nje hajaja. Mfano mzuri ni mauaji ya halaiki Rwanda. Kupromote utaifa na uzalendo wala sio kitu cha gharama hata kidogo na hata kama kingekua cha gharama kingekua worth the investment.

Kwa nini nasema haya? Nasema haya kwa sababu bila kuimarisha ulinzi wa ndani, kununua vifaa vya kivita kwa kutegemea vita toka nje kuta kuwa sawa sawa na kununua ARVs huku ukifanya mapenzi hautumii kinga. Kuna vitu tunaweza kufanya internally ambavyo vita punguza kwa kiasi kikubwa external threats.
 
Rwanda has the best airwing with good craft BUT its not the BEST craft, kwahio inawezekana kuwa na apache kama unabisha muulize uganda they fought 3 time na mala zote uganda ameloose
So ler not underestmeti Rwanda eti nchi ndogo (just think how small is israel na vitu ilivyonavyo)

Uganda wako na sukhoi 30 ni 4generation warplane,rwanda wako na apache helicopters

Mhh mkuu hiyo Apache una iunder estimate.. Africa inamilikiwa na Egypt tu na waliipata kwa provision ya Subsidy wanayopewa kila mwaka na USA ina worth 1Blb USD. Kagame alikua na Utility Helcopters 2 na fighter mbili kama sikosei ni Mi-18 za Kirusi Airforce ya Rwanda ni ndogo sana kumiliki Apache moja wanaweza wakawa na Seti ya Mizinga 100 ya kupiga Km 15-20 na ku supply ground troops with Multiple Ordinance na Heavy projectiles Vehicles kam BM-21 plus Mafuta na Posho sasa huoni apo km Apache ni anasa.
 
Mkuu nimekusoma. Ndivyo Brgd. Gen Mwakibolwa alivyowasoma m23 na kuwasafisha! Kazi kubwa kule Goma ilifanywa na vikosi vya mizinga na makomandoo wa Tz!. Ukijenga uwezo kwa vikosi vya mizinga na ground troops in general,umeyashinda majeshi karibu yote ya nchi za Africa!
Tz
Na ndio policy ya jeshi la aina yetu.."defence" yaan we defend our territory sisi sio kama Egypty au Ethiopia wale sera zao tofauti so we mainly need Interceptors rather zenye Multirole capability.. Tunajenga capability kubwa kwenye ground troops hapa ndio penyewe.. African Air Forces ni ndogo mno ukipiga ndege 10 tu umemaliza Air force ya mtu mfano Kaguta anatamba na hizo Sukhoi ila anazo 6 tu. So ukitengeneza SAM Battalion ya maana tena ya SA-6 tu hakusumbui halafu unapeleka Reconaissance Special Forces wakupe precise location ya valuable targets usiku unapaki MLRS A-100 na MS-2 ambazo tunazo unasafisha uwezo wote wa adui hakuna cha Sukhoi wala F-5 za wakenya kesho yake ground troops zinasonga mbele hivi ndivyo medani zinavyofanya kazi..
 
Rwanda has the best airwing with good craft BUT its not the BEST craft, kwahio inawezekana kuwa na apache kama unabisha muulize uganda they fought 3 time na mala zote uganda ameloose
So ler not underestmeti Rwanda eti nchi ndogo (just think how small is israel na vitu ilivyonavyo)
Mkuu Rwanda HANA Apache hata moja!Kumiliki Apache si mchezo,survey bei yake utaona. By using 2.9% of its GDP she cant afford(do u know Rwandese GDP ?). Airforce ya Rwanda ni ndogo sana. Ana attack Helcopters 8(in which no Apache at all),utility helcopters 8,transport helcopters 3. Sijaona fighter jets kwenye source yangu! Ila pamoja na yote hayo tusimdharau kwani mchelea mwana kulia hulia yeye!
 
Back
Top Bottom