Tanzania sio masikini Watanzania ndio tu masikini

nasema hayo na tujiulize msafara wa rais wa nchi masikini gari 45 ndio umasikini au wananchi ndio masikini kuzindua jiji tu mji mzima wa arusha umejaa mashangingi na mount meru hospitali hakuna hata asprin je huu ni uungwana?
The president can use so many vehicles in his motorcade if deemed necessary. This could be due to security reasons. What's the big deal here?
 
nasema hayo na tujiulize msafara wa rais wa nchi masikini gari 45 ndio umasikini au wananchi ndio masikini kuzindua jiji tu mji mzima wa arusha umejaa mashangingi na mount meru hospitali hakuna hata asprin je huu ni uungwana?
.....kaka ndani ya "mama afrika" iliyobarikiwa na aliejuu hakuna umasikini...lkn kuna kukosa nidhamu na madhara yake...itazame rwanda...hawana dhahabu wala mafuta...lkn wana nidhamu...! Na wanasonga mbele kwa kasi ya kushangaza (kama si kuonea gere)...geuka kisha itazame nigeria au sudan...au jamhuri ya muungano...
 
Rwanda isiwe kipimo cha mfano kwani wao wengi wamekufa.wamekimbia Inchi. wengi hawakusoma ingoje RWANDA baada ya miaka 20 ijayo hayo yote hutayapat
 
Back
Top Bottom