Tanzania Railway Ltd kulipa Dola Milioni Saba za mkopo!

Jitihada gani za Nyerere, yeye ndiye alyeuwa kila kitu Tanzania, usituchafuwe saa hizi.

Kwa mara ya kwanza tunaona treni ikipakia abiria mjini, kwa mara ya kwanza tunasikia treni ikiboreshwa. Nyerere alikuta treni toka Mjerumani, aliifanya nini badala ya kuiuwa na kuwa nyang'anyag'a.
Zomba a u out of mind or what? Mpaka mwalimu Nyerere anaondoka madarakani mwaka 1985, kulikuwa na reli ya Moshi ambayo, sisi tuliosoma kasikazini tuliifaidi saana kwa gharama zake nafuu. Hii reli ambayo leo inatumika kusafirisha abiria ilijengwa na mwalimu kwa ajili ya kiwanda cha urafiki ambacho leo hii sidhani kama kinafanya kazi tena. Tatizo la mwalimu Kambarage ni nn?
 
Acha ufukunyuku, yeye si aliikuta hiyo kutoka Ujerumani, aliijenga yeye?
 
Acha ufukunyuku, yeye si aliikuta hiyo kutoka Ujerumani, aliijenga yeye?
Asante asante Zomba, nilikuwa sikufahamu sasa nimekuelewa, kumbe mkate unatengezwa kwa mawe ndiyo maana binadamu anashindwa kuutafuna nilikuwa sijui. Ninakuthibitishia hapa kuwa hata Ikulu haikujengwa na wajerumani bali imejengwa na Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani, yaaaani pale anapoishi sasa hivi palikuwa pori kabisa pale, eneo lile sisi tulikuwa tunachunga ng'ombe pale!!!

sembuse reli, hizi reli unazo ziona leo kama sio JK, kuamka nchi isingekuwa na reli kabisa, Rais Kikwete kajenga kilomita nyingi sana za reli bwana. Na ninavyopost hapa tayari ujenzi wa reli iiendayo kule kwenu Manyara imeanza, kwa ajili ya treni ziendazo kasi mkuu.. umeona eeeeeehh!! he is doing good
 
sio wa africa ni watanzania, botsawana na ghana . income yao sawa sawa na russia na nchi inamaendeleo ya kuvutia sana
tatizo ni watanzania
 
Back
Top Bottom