Tanzania one

Huyu dogo nampata sana alisoma na mdogo wangu pale mzumbe advance wanasema alikuwa matata sana aisee

Olevel kapiga I ya 7

Advance kapiga I ya 4 PCM akiwa na BAA

Huyo mchumba tuu... Watabe wanatoka Ilboru na Tabora boys over.
ingia Google hawa: Aron Gerson, Hassan Gwaay, Mgeni Makambi, Frank Shega, Samson Mongo

tabora boys iko juu, then ilboru, kibaha kwa mbaaali mzumbe.
 
Mkuu huyo shega tulisoma nae pale iyunga darasa na wote tulikuwa tuna kaa bweni moja la amri abeid mwenye kufahsmu alipo anijuze. Alikuwa kilaza wa ngeli balaa nakumbuka siku moja aliambiwa atoe speech akashindwa kwa hiyo academic prefect wetu emanueli urasa akamwambia basi kwa kuwa huwezi hilo basi badilisha neno hili liwe kiingereza "kijana amepamba moto" shega akasema kijana ni ki yesterday, amepamba ni amecotom, moto ni fire, kumbe akaunganisha akasema. Kiyesterday amecoton fire. Nilicheka saana. Nimekumbuka mbali isee

Shega yupo Vodacom pale Mliman city, anapiga kazi pale kama Telecom Engineer.
 
Huyo mchumba tuu... Watabe wanatoka Ilboru na Tabora boys over.
ingia Google hawa: Aron Gerson, Hassan Gwaay, Mgeni Makambi, Frank Shega, Samson Mongo

tabora boys iko juu, then ilboru, kibaha kwa mbaaali mzumbe.
Mkuu unamjua huyo mtu au unamskia,nimesoma nae advance, na chuo pale CoET ameondoka na 4.6 pale CoET akichukua civil engineering alafu unamuita mchumba
 
Mkuu unamjua huyo mtu au unamskia,nimesoma nae advance, na chuo pale CoET ameondoka na 4.6 pale CoET akichukua civil engineering alafu unamuita mchumba

4.6 kwa sisi watu wa TeleCom tunamuona bado mchumba tuu...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Mi sikubahatika kuwa T.O ila shule yangu ilikuwa inawakalishwa vizuri sana na hawa T.O ukijumlisha na sisi wa akili ya kati basi The head of Tanzania inang'ara!
Live long TS kwa mchango wako!
Usiniulize kama nimeelewa mada au la
 
Nasikia Jamaa alidisco akaanza kuzunguka nchi nzima kwenye mashule anapigia madogo mapindi ya advance.

Lugha nzuri ni walimdiscosisha kwa sababu ya ujuaji wake ila alipiga sana mpunga akiwa anafundisha

Imagine pale Bugarika ana darasa la wanafunzi around 200 na topic zote bei ni kuanzia elfu kumi hadi ishirini

Hapo anafundisha Physics,Chemistry na Pure Maths.System ya ukusanyaji pesa ilikua strict sana anatumia body guard wake
 
Duh! Wanafunzi 200? Imekaaje Hiyo? Inanikumbusha jamaa wale wa mchikichini miaka ya 2002-2004
 
Muhagachi Chacha

TO 2011-MUHAGACHI PETER CHACHA
COMB-PCM
KIBAHA ALEVEL-2011
ILBORU-OLEV-2008
AIRWING-PRIMARY-2004
UDSM TELECOM-2015-GPA 4.7
DIVISION-1.3 ALEVEL
DIVISON-1.10 OLEV
MARKS-237 OUT OF 250-PRIMARY
HOME-BANANA

Mdogo wake Dativa Peter
 
Back
Top Bottom