mchapafito
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 608
- 300
salam zenu wakuu!.nimejaribu kutafuta historia ya wanafunzi bora(wa kwanza) au tanzania one hapa tanzania kwa kidato cha sita lakin sikufanikiwa kupata.
Naomba kwa yeyote mwenye historia ya mwanafunzi bora tanzania awasilishe kwenye uzi huu kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo,
(a)mwaka aliohitimu kidato cha sita mwanafunzi huyo
(b)division
(c)wastani kwa ujumla wa masomo yote aliyofanyia mtihani
(d)shule aliyohitimu kidato cha nne na cha sita.
nionavyo mimi wewe ni form 6 ambaye unahis utafaulu vzuri . endelea kufikiria hvohvo ukidhan NECTA ni shemeji zako