Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,398
- 319
Tanzania ni nchi ya kipekee, ambayo imezungukwa na utajiri wa kila aina
Kuliko nchi nyingine yoyote Duniani,
Mbuga nyingi za wanyama, Mito, Milima, hari ya hewa nzuri kwa utalii, Madini aina
Mbali mbali, yakiwemo Tanzanite ambayo hayapatikani mahali pengine
duniani zaidi ya Tanzania,
Tanzania yenye gas lukuki, Tanzania yenye maeneo yawezayo kuchimbwa petroli
Tanzani yenye maziwa yaani (Lakes), Tanzania yenye idadi nzuri ya Mifugo kama
vile ng'ombe, Tanzania yenye wasomi wazuri kama wangesimamiwa vizuri,
Tanzania yenye ardhi kubwa ya kilimo na yenye rutuba, Tanzania yenye watu
Wachapa kazi na wengi wanaojituma. Hivi pamoja na kuwa na yote hayo ipo
Hapa ilipo kwa miaka zaid ya 46 ya uhuru? Ama twaongozwa na MAJINI?
TUKIWEZA KUEPUKANA NA MDUDU UBINAFSI, MDUDU MAJUNGU, MDUDU DHARAU, MDUDU KUJIONA MIMI NI ZAIDI YA YULE
TUTAPIGA HATUA
MUNGU IBARIKI TANZANIA