Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote duniani

Si kweli kwamba Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote duniani, by any measure.

Unless the poster was using poetic license, in which case I will cease to assign any serious consideration to anything else in this thread.

Katumia fasihi na lugha ya kuamsha watu, lakini si katika uhalisia mkuu!
 
Katumia fasihi na lugha ya kuamsha watu, lakini si katika uhalisia mkuu!

Ndiyo maana nikauliza kama mtu anatumia "poetic license", na hata hiyo poetic license si "license to kill" meaning you cannot get away with everything.

Unaweza kusema Tanzania ni nchi ya dhahabu, maziwa na asali kwa sababu hii si factually wrong.

Ukisema Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote duniani hii hata kwenye level ya poetic license haipo.I should know about that, I use poetic license all the time.

Ukitaka kutumia uongo ili ku drive a point home you are doing injustice to yourself and your cause.

Just because Tanzania kuna ufisadi, haimaanishi tuufisadi ukweli kwa kusema Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote duniani.I mean this guy did not even obfuscate his case kwa kusema Tanzania ni miongoni mwa nchi tajiri duniani, amesema ni nchi tajiri kuliko zote, meaning number one. Nikishaona mtu anaanza kwa style hii naona anataka kutufanya watu kama watoto sasa.

Najua tunakerwa na matatizo yetu ya kiuchumi, lakini je ni lazima tu invent fantasies katika ku drive some points home? Hii ndiyo culture ya Great Thinkers?

Facts are sacred.
 
Acha kujidanganya wewe,hakuna cha maana...hivyo vidhahabu ni vidogo sana,ukiniambia Iraq,Kuwait,kwa bwana Chavez,Brazil nitakuelewa...hatuna kitu usijidanganye wewe!

Mkuu tupo pamoja kabisa hapo kwani tumejaliwa ulalamishi tuu
Yaani tu tani 40 tu ndio nini
[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_gold_production[/ame]

Hiyo ya ardhini haituhusu kwenye reality itakuwa kama mafuta ya zanzibar
 
Mkuu tupo pamoja kabisa hapo kwani tumejaliwa ulalamishi tuu
Yaani tu tani 40 tu ndio nini
http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_gold_production

Hiyo ya ardhini haituhusu kwenye reality itakuwa kama mafuta ya zanzibar

Kumbuka huongelei tani 40 za mahindi, hii ni tani 40 ya pure gold we are talking about.

Tanzania inashikilia nafasi ya tatu Afrika katika uzalishaji wa dhahabu Afrika, baada ya SA na Ghana. Na hizo ni official figures tu, bado hujaingiza zile wanazouziwa Wamalawi na Wakenya.

Kwa hiyo hii point ya kwamba hatuzalishi dhahabu sana si kweli.Labda uniambie kwamba hatuoni manufaa ya fedha hizi, which is quite another matter.

But still this does not make Tanzania the richest country in the world.
 
Mimi naona mnaopinga utajiri wa Tanzania mnatumia data zilizotengenezwa na hao hao wanao tunyonya maliasili zetu, Hivi mnategemea kuna website za Wamarekani au Ulaya zitawasifia watanzania kuwa wana utajiri?
Kwa kuwa viongozi wetu walikosa uzalendo wakati wanaingia mikataba na hayo makampuni ya madini, kwa kuweka vipengele ambavyo havina maslahi kwa Taifa, hatuna namna ya kurekebisha hayo mapungufu.
 
Mzalendo,

Katika kutathmini utajiri wa nchi uzalendo hautakiwi.Ukileta uzalendo katika hesabu utahesabu visivyopo ili mradi tu nchi yako iwe tajiri.

Ndiyo maana hata waswahili wa mtaani tunapotaka kusema mtu hajawa fair tunasema "katumia uzalendo", as in "refa katumia uzalendo pale".Uzalendo being kuweka maslahi ya nchi/ timu yako mbele badala ya ku judge vitu objectively.

Ukweli ni kwamba Tanzania ni nchi tajiri, yenye mali nyingi, lakini hazijatumika vilivyo na zile zilizotumika mapato yake hayaendelezi nchi vya kutosha.

Alichokosea huyo mjomba mjomba hapo juu ni kusema "Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote duniani", by any measure this smells like a fart full of organic gases.
 
Tanzania ni nchi ya kipekee, ambayo imezungukwa na utajiri wa kila aina
Kuliko nchi nyingine yoyote Duniani,
Mbuga nyingi za wanyama, Mito, Milima, hari ya hewa nzuri kwa utalii, Madini aina
Mbali mbali, yakiwemo Tanzanite ambayo hayapatikani mahali pengine
duniani zaidi ya Tanzania,
Tanzania yenye gas lukuki, Tanzania yenye maeneo yawezayo kuchimbwa petroli
Tanzani yenye maziwa yaani (Lakes), Tanzania yenye idadi nzuri ya Mifugo kama
vile ng'ombe, Tanzania yenye wasomi wazuri kama wangesimamiwa vizuri,
Tanzania yenye ardhi kubwa ya kilimo na yenye rutuba, Tanzania yenye watu
Wachapa kazi na wengi wanaojituma. Hivi pamoja na kuwa na yote hayo ipo
Hapa ilipo kwa miaka zaid ya 46 ya uhuru? Ama twaongozwa na MAJINI?

TUKIWEZA KUEPUKANA NA MDUDU UBINAFSI, MDUDU MAJUNGU, MDUDU DHARAU, MDUDU KUJIONA MIMI NI ZAIDI YA YULE
TUTAPIGA HATUA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Nadhani tatizo letu kubwa ni uongozi mbovu.angalia wachina, walivyo piga hatua katika kipindi kifupi sana.hawa walikuwa wajamaa kama sisi,lakini wenzetu wamepata sasa uongozi bora usiovumilia ufisadi wa aina yoyote. ili tuendelee kwa nchi za kiafrika inabidi mabadiliko yaanze juu na kushuka chini.vinginevyo ni kupiga siasa tuu.
 
Si kweli kwamba Tanzania ni nchi TAJIRI, au yenye malasili NYINGI KULIKO nchi ZOTE duniani.Mnantia uvivu hata kuandika.
 
Si kweli kwamba Tanzania ni nchi TAJIRI, au yenye malasili NYINGI KULIKO nchi ZOTE duniani.Mnantia uvivu hata kuandika,

hayo ni mawazo ya kijiweni na kujitia umaskini. Nendeni mkafanye kazi za uzalishaji, muachane na meshen town na ufisadi wa mawazo. Nchi inahitaji fedha za kigeni, na uwezo wetu katika kuchimba huto tudhahabu haupo kabisa, tungefanya kazi za kuzalisha mali tukajenga mitaji wakati huo tukisomesha wataalamu tungechimba kwa tija zaidi hapo baadaye, lakini hatuwezi kufa kwa njaa. Watanzania uzembe umetuzidia sana, watu wanaota kuwa matajiri fastafasta, utajiri wa binafsi hauna thamani yoyote kwa Taifa. Acheni hayo mawazo mgando mnayoyaibua chini ya keyboard za ofisini, huu ni muda wa kuamka, muda wa kufanya kazi na kuacha ulalamishi.

Anapokuja mwananchi mmoja asiyefikiria kwa undani na kuannza kuwajaza upepo watu kuwa Tanzania ni nchi Tajiri kuliko zote duniani bila kuonesha takwimu mlinganyo, inakuwa nni uchonganishi. Kama kweli wewe umefanya uchunguzi na kugundua hilo basi tunaomba uwasilishe data zako hapa jamvini watu tuzione.

Inaudhi na kusikitisha sana, Taifa haliwezi kujengwa kwa majungu. Tazama Wachina na Wahindi walikotoka, tazama leo wako wapi, kisha tazama maliasili walizonazo, tazama kwa undani ili upate kujua ni kitu gani kilichosukuma maendeleo yao kwa kasi ya ajabu namna hiyo. Inauma sana, inauma sana kuona watanzania wenye Nguvu za kufanya kazi, watanzania wanaojiita wasomi, watanzani ambao mpaka anakuja kufa hana alama yoyote zaidi ya kujidai kuwa amesafisha njia ya maisha mazuri kwa wanawe, bila kuangalia kitu alichotakiwa kuweka kisukume maendeleo ya Tanzania mbele! tumekalia uchuuzi na wizi mtupu!

Mimi si mwanasiasa wala mwandishi wa habari, mimi ni mpiganaji tu, mzalishaji mwenye ndoto ya kuacha footprint zisizofutika katika historia, lakini ipo siku nitasema, nitasema hapahapa JF kila mtu asikie, nitapaaza sauti, nitakemea mapepo yote yateketezayo nafsi za vijana wa Tanzania.

Mungu usiibariki Tanzania, mpaka watanzania waache ushetani na roho za ulalamishi zilizotawaliwa na pepo wa Uzembe.
 
Si kweli kwamba Tanzania ni nchi TAJIRI, au yenye malasili NYINGI KULIKO nchi ZOTE duniani.Mnantia uvivu hata kuandika.
unaonekana ni mtu wa kukatisha tamaa watu kwa maneno yasiyo kuwa na asurance ya nini kitu gani unapinga, jifunze kutafuta ushahidi then ukiukosa ndiyo uje kupinga huku ukiwa na ushadi, amka tena fahamu kuwa matendo ni bora kuliko nadharia, achana na mawazo umaamuma wa kukubari kila kitu
kama mitaala yetu ya elimu kutulazimisha kuwa tuamini binadamu alitokana na nyani, hili halina ubishi kwa mtu asiyetumia data za kifisadi ukweli tanzania ni nchi tajiri
 
Utajiri wa maliasili sio utajiri ndugu yangu. Ni sawa na urithi wa mzazi bilionea kwa watoto mbu mbu mbu wasioenda shule, wasio na maadili, hekima wala busara. Nchi yetu ni maskini wa kutupa sio kwa sababu ya kukosa rasilimali, bali kwa sababu tumekosa watu ambao wana elimu, busara, maadili na uwezo wa kuthubutu. Hapa ndipo umaskini wa Watanzania ulipolalia.
 
Kumbuka huongelei tani 40 za mahindi, hii ni tani 40 ya pure gold we are talking about.

Tanzania inashikilia nafasi ya tatu Afrika katika uzalishaji wa dhahabu Afrika, baada ya SA na Ghana. Na hizo ni official figures tu, bado hujaingiza zile wanazouziwa Wamalawi na Wakenya.

Kwa hiyo hii point ya kwamba hatuzalishi dhahabu sana si kweli.Labda uniambie kwamba hatuoni manufaa ya fedha hizi, which is quite another matter.

But still this does not make Tanzania the richest country in the world.

Mkuu sasa mbona unataka kuleta ubishi wa kahawa we angalia hiyo gap ya World first producer na huyo watatu
Ni sawa na kusema Chadema ni chama chatu Tanzania wakati CCM ina 98%ya viti vyote
Kwa hiyo utake usitake watakuwa haibi kiivyo kama unavyofikiri
Solution ni tuache ulalamishi na tafanye kazi kwa bidii
 
Ndiyo maana nikauliza kama mtu anatumia "poetic license", na hata hiyo poetic license si "license to kill" meaning you cannot get away with everything.

Unaweza kusema Tanzania ni nchi ya dhahabu, maziwa na asali kwa sababu hii si factually wrong.

Ukisema Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote duniani hii hata kwenye level ya poetic license haipo.I should know about that, I use poetic license all the time.

Ukitaka kutumia uongo ili ku drive a point home you are doing injustice to yourself and your cause.

Just because Tanzania kuna ufisadi, haimaanishi tuufisadi ukweli kwa kusema Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote duniani.I mean this guy did not even obfuscate his case kwa kusema Tanzania ni miongoni mwa nchi tajiri duniani, amesema ni nchi tajiri kuliko zote, meaning number one. Nikishaona mtu anaanza kwa style hii naona anataka kutufanya watu kama watoto sasa.

Najua tunakerwa na matatizo yetu ya kiuchumi, lakini je ni lazima tu invent fantasies katika ku drive some points home? Hii ndiyo culture ya Great Thinkers?

Facts are sacred.
hakuna mtu anayetaka kukufanyeni kama watoto, mi nadhani ungeshuka na datas zilizo kinyume na hizo may be any discribed point if you have, but not to be guilt and making your views as if kila mtu anatakiwa kuona sawa na uonavyo, you've to go deeper so as to come with a strong reasons,
 
Kwa hiyo unataka tukubali Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote duniani?

Kwa kipimo gani? labda tunahitaji kuelimishwa.

The inability to be multifaceted, to see that the fact that Tanzania is not the richest nation in the world does not diminish the case against ufisadi, is at best a deplorable and cancerous plague that needs an immediate catharsis.

The deliberate fabulous fantasizing not only diminished our credibility, it also belittle our dicourse to a child's play, an incredible fantasy not to be taken by any serious measure by anybody over 7 years old and of inquiring mind.

Why invent lies when the truth is more than sufficient to drive the point home and get the work done?

This reminds me of the lying couresan, lying to an already admiring object of desire.

JF is already anti ufisadi, why do you feel you have to lie to mobilize the masses. I begin to question your sincerity and motive.
 
Kwa hiyo unataka tukubali Tanzania ni nchi tajiri kuliko zote duniani?

Kwa kipimo gani? labda tunahitaji kuelimishwa.
hiyo si lazima, wala halazimishwi mtu hapo, asiye mvivu wa kutafuta ushahidi wa kina zaidi angetumia muda zaidi kutafuta kujua kwa nini tanzania iwe tajiri kuliko nchi zote duniani, mimi siwezi kuwa final say wa mawazo ya mtu binafsi, hata mimi mwalimu aliponifundisha ya kuwa mwanadamu alitokana na nyani kwa ushahidi wa kinadharia sikubisha bali nilitumia muda mwingi wa kutafuta ushahidi wa kivitendo ni mpaka pale nilipopata jibu sahihi, ingawaje wapo ambao bado wanajua hivyo hata sasa.
 
Tuna kanuni hapa JF.

No research, no right to speak. Opinions are like asses, everyone has one.Facts, on the other hand are sacred.

Wee unayetetea huu upuuzi wa kusema Tanzania is the richest nation on earth unatakiwa utoe data.

Kwa GDP tushaona Carlos Slim ana net worth iliyo twice our GDP.

Kwa madini zao la almasi tu Russia linapita madini yote ya Tanzania, any given year.

Kwa land mass Tanzania ni ya 31 in the world.

It is not that I am an unpatriotic brat, na najaribu ku dispute vitu. Natafuta any measurement ambayo itasema Tanzania is the richest nation on earth, but I can't find it. Frankly this should be your job, since you are the one supporting that notion and I am the one disputing it.

Nionyeshe unatumia kipimo gani kusema Tanzania is the richest nation in the world?

Au unataka kutuambia kwamba una support vitu usivyovijua?
 
mkuu ulisema tuna vidhahabu vidogo, so hatuna kitu,

unachosema hapa sikuelewi, can you be straight please, maana inawezekana unatumia lugha za mafumbo!
Wb,
Asiejua maana usimwambie maana, Hao ndio fungu/kundi la kina vijisenti.
 
Hata kama tungevuna gold yote bila barrick na wenzake na kuweka profit treasury 100%,isingetosha hata 10% of the budget,tourism & agriculture zina potential kubwa kuliko hiyo gold,kumbukeni almost 50% ya budget yetu ni misaada kutoka nje...sasa huo utajiri umetoka wapi?hamshangai tuna natural gas ya kuzalisha umeme nchi nzima lakini ni less than 20% ya wananchi wenye umeme na wanaopata ni very expensive & rationing,angalia Dar imezungukwa na maji ya mito na bahari kila kona lakini maji bado ni mgawo na wanaopata ni wachache sana...maliasili bila akili sio utajiri!
 
Back
Top Bottom