Tanzania ni nchi pekee duniani inayojiendesha yenyewe bila Rais

sasa kila kitu afanye Rais kwa hiyo angekuwepo angezuia mafuriko au amgetoa agizo lifungwe turubai dar yote mvua isinyeshe kuna mtu ajui kama hiki ni kipindi cha masika?
 
Yuko wapi,acha kudanganya umma HATUNA RAIS Tanzania

Acha kupotosha watu, asingekuwepo rais nchi hii ingekalika? Uliza Somalia ndio itaelewa kama hapa tuna rais au lah. Watu mnafanya mzaha tu, ngoja itokee vita ndio mtaheshimu uwepo wa mfumo wa kiutawala
 
Kwahiyo Rais ndio anayeleta amani na kuepusha vita?
 
Kwahiyo Rais ndio anayeleta amani na kuepusha vita?

Kuwapo kwa serikali chini ya Rais, ndicho kinachowezesha kuwapo kwa mfumo wa kisheria, utulivu na Amani. Nchi ingekuwa kwenye autopilot kama mnavyojaribu kushawishi au kujishawishi, kungekuwa na vurugu na mambo yangekuwa holela tu.
 
acha dharau kwa viongozi wako,wewe hata kuongoza familia au ukoo wako huwez,ijekua nchi!! kila mtu ana mapungufu huwezi tenda jambo kila mtu akalikubali,Raisi wetu ni mtu makini na hapa tulipo ni sehemu nzuri!!
 
viongozi wapo mkuu, hujawasikia? tunae barack obama, david Cameron n. k. hawa ndio viongozi wetu. hawa tulionao ni wawakilishi.
 
Back
Top Bottom