Tanzania ni nchi pekee duniani inayojiendesha yenyewe bila Rais

Mkuu hapo kwenye dola mbona umempendelea? Sio $ 1 kwa sh.1840 bali ni $ 1 kwa kwa sh.2005 eti anadai hiyo ni kumbukumbu yake ya kujiingiza madarakani kwa wizi wa kura.
 
Kama nchi Hainan raisi unaonaje tukupe wewe uongoze katika kipindi hiking kifupi tunapoelekea kwenye uchaguzi?
 
naona mnaona dola tu.
kifupi Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani yenyewe.
 
Rais yupo. Sio wa bongo fleva ila wa Tanzania. Yale majukumu si mchezo. Sisi tunalalamika hata south wanalalamikia xenophobia na zuma haongei. Hata Obama nae hivyo hivyo.
 
Watanzania ni wasaulifu Mwalimu Nyerere mwaka 1995 alituambia huyu hajakuwa , kwa usahalifu wetu 2005 tukampa nchi . Tunachokishuhudia sasa ndicho alichokuwa akikimaanisha Mwalimu , Baba wa taifa la Tanzania , makosa ya 2005 /2010 tusiyarudia mwaka huu .
 
"TANZANIA NI NCHI PEKEE DUNIANI ILIYOBAKISHA WANANCHI MAZEZETA"

Usimlaumu Rais kila kitu anafanya kwa ajili yenu.
 
1.Leo nafunguka kwa kusema hivi ''TANZANIA NI NCHI PEKEE DUNIANI INAYOJIENDESHA YENYEWE BILA RAIS''. Ni muda mrefu sasa mambo mengi yanatokea, watu wanachota rasilimali za nchi bila huruma, mikataba mingi feki inasainiwa tu, wizi mkubwa wa pesa za walipa kodi mfano richmond, dowans, kagoda nk, lakini haya yote yakitokea rahisi yupo kimya wala hashtuki, hatoi onyo lolote japo mkwara tu. Lakini cha ajabu alipotakiwa kuzungunzia DOWANS alijing'atang'ata tu ulimi na kuishia kusema hawajui dowans na wala hana shida ya kuwajuwa.(.......)??????

2.Mawaziri wengi aliowateuwa yeye mwenyewe kwa utashi wake, wameonekana kuboronga kiasi cha kumtia aibu kubwa lakini wala hakuna hatua yeyote ya kuwajibika inayochukuliwa na hamna anayeuliza. (......)?????

3.Ndani ya chama anachokiongoza watendaji wake wakubwa wameonekana kuropokaropoka tu kila mmoja na analoamkanalo ndo hilohilo bila hata kutafakari analisema.(......)?????

4.Shillingi ya nchi yetu dhidi ya dollar ya marekani ndani ya mwezi mmoja imeshuka toka $1/Tsh1540 hadi $1/Tsh1840. Hakuna hatua yoyote ya kuimarisha shillingi yetu inayochukuliwa na kiongozi wetu.(.....)????

5. Na mengineyo mengi tu.(why)?????

Kutokana na haya yote ni sawa na kusema Tanzania inajiendesha yenyewe bila rais.

SOURCE; NI MTAZAMO WANGU.

Naomba kuwakilisha hoja.
Khaa!! kiongozi wewe ni mgeni hapa mjini?? Nauliza tu :glasses-nerdy:
 
Dar es salaam saiv ni ziwa na watu wake wamegeuka masamaki na wengine kufa lakini Anaejiita RAIS yupo MAREKANI haya sio majanga kweli
 
Back
Top Bottom