Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,009
- 6,333
Mkuu naomba unielewe. Nimesema siasa isitufanye tuwe maadui. Na sio kulalamika. Hivi nikisema Mh Lissu angekuwa mwana ccm Serikali ingekaa kimya hadi hivi sasa?? Na hapo utasema nalalamika??Halaiser,
Hukumu imewabeba viongozi wa chadema bado unalalamika? Kwa mashtaka waliyosomewa na hukumu waliyopata ni upendeleo wa hali ya juu. Wamebebwa!
Sent using Jamii Forums mobile app