Tanzania ni nchi huru, a Sovereign State, Mahakama zetu ni huru? Hizi ndizo hukumu zetu za haki, who the hell is Marekani kutuingilia? Je, tukubali?

Halaiser,
Hukumu imewabeba viongozi wa chadema bado unalalamika? Kwa mashtaka waliyosomewa na hukumu waliyopata ni upendeleo wa hali ya juu. Wamebebwa!
Mkuu naomba unielewe. Nimesema siasa isitufanye tuwe maadui. Na sio kulalamika. Hivi nikisema Mh Lissu angekuwa mwana ccm Serikali ingekaa kimya hadi hivi sasa?? Na hapo utasema nalalamika??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWA sovereignty hiyo SIR PASKALI MAYALA inamaanisha tunaweza kuteketeza kikundi cha kijamii , kidini, kisiasa au utamaduni fulani wafe waishie mbali na tusihojiwe?Test nzuri ya hili ni case ya Tanzania kumtoa Idd AMIN nje ya mipaka na kuendelea kupigana hadi Kampala.Je hii ni uingiliaji wa sovereignity pia?Kuna mchangiaji kakuita mnafiki ila badala ya kuungana naye nakuita KIPOFU maana ungeichambua HUKUMU na mazingira na muda Kesi imechukua na mateso waheshimiwa Wabunge wamepata kulazimika kuwa Dar na kufikiriwa wametelekeza majukumu waliyonayo na mwenendo wa upande wa Jamhuri kwenye kesi hii usingezungumza eti HAKI SASA IMETENDEKA "LIBERTY " na kuwa eti hiki ni kiwango chetu cha juu kabisa cha ubora cha kutoa haki na kuchomekezea SOVEREIGNITY na KUINGILIWA dhana ambazo ni dhahiri huzijui vizuri.Huna maslahi ya nchi nyuma yako una maslahi unayoyajua mwenyewe na hapa uko katika uchokonozi tu kuwa waungwana tunasemaje.
Shukurani sana Mkuu KOMBESANA. Pascal na wenzake natumaini watakuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba unielewe. Nimesema siasa isitufanye tuwe maadui. Na sio kulalamika. Hivi nikisema Mh Lissu angekuwa mwana ccm Serikali ingekaa kimya hadi hivi sasa?? Na hapo utasema nalalamika??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio unalalamika, au huoni kuwa unalalamika? Unajua kabisa km Lissu alikimbiza ushahidi sasa ulitaka serikali ifanyeje? Hata km angekuwa ni mwana ccm serikali isingekuwa na chakufanya.
 
Yani hii hukumu imewashtusha wanaoombwa kutupa misaada aina yakesi yenyewe Kama ulivyoilezea hapo mwanzo,,chadema ndio chama kikuu Cha upinzani hapa nchini ukiigusa kidogo tu kwakuionea unafanya wapenda haki wote wasimame,mfano Kama ulivyoona Sasa nadhani hata CCM hawajapenda huu muamko ndani na nje ya nchi habari yamjinii nihukumu tu nawanachi walivyoamka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa kuzungumzia Maslahi kwa Taifa, huwa nazungumza. Watanzania wenzangu, tuwe watu wa shukrani kwa yote, kukifanyika mazuri tushukuru, na hata kwa mabaya tushukuru, huwezi jua, hii hukumu ya kina Mbowe japo imegeuzwa ni mtaji, lakini tushukuru. What is TZS 350m compared to liberty? Tena usikute hukumu hii ikageuka a blessing in disguise kwa kuwaunganisha wapinzani wote wa kweli against a common enemy na kuunda a strong united front for the first time Tanzania tukapata a strong credible na serious opposition ambayo inaweza kuwa mbadala wa CCM.

Hata kama kina Mbowe hawakuhukumiwa kwa haki, lakini watakuwa huru na hizi ndizo haki zetu. Haki za kweli zinatolewa na karma pekee! Kwavile Aquiline aliuwawa na risasi moja, na kwenye kundi la wale polisi 6 waliofyatua risasi za moto, na wote kukamatwa na kuachiwa baada ya kujengwa hoja kuwa hiyo risasi iliyomuua Aquiline haikulengwa kwake, bali ilifyatuliwa juu ikaenda juu angani, kisha ikapinda kona, ikashuka chini, ikaingia kwenye daladala ikamchagua Aquiline na kumuingia!.

Polisi aliyeifyatua by now, atakuwa ameishashughulikiwa na karma, na haya ndio maajabu ya mfumo wetu wa utoaji haki. Mtu anauwawa kwa risasi, askari sita wenye silaha waliofyatua risasi wameachiwa, huku kina Mbowe waliokuwa wakiandamana mikono mitupu ndio wanakamatwa, wanaswekwa mahabusu, wanashitakiwa, wanakutwa na hatia na kuhukumiwa!. Kama wamehukumiwa kwa kuonewa, karma itamshughulikia muonevu na kuwafidia waonewa, tushukuru Mungu kwa yote.

Bandiko hili ni bandiko la swali, kuwa Tanzania ni nchi huru, a sovereign state, mahakama zetu ni zinapaswa kuwa huru, independent bila kuingiliwa. Hii kukumu ya kesi ya kina Mbowe, ni moja tuu ya hukumu nyingi za mahakama zetu, na hukumu hizi ndizo hukumu zetu za haki zetu kwa viwango vyetu vya mahakama zetu, sasa hawa Wamerekani ni nani hadi watuingilie mambo yetu ya ndani?. Who the hell are they kutuingilia?. Je, Tanzania tukubali kuingiliwa ingiliwa tuu hadi uhuru wa mahakama zetu kuingiliwa? Tukikubali kuingiliwa ingiliwa hivi si watakuja kutuingilia hadi kinyume cha ...na hata kututia vidole....machoni.

Nimesoma mahali kuwa Marekani imetuingilia kwa kuingilia uhuru wa mahakama zetu katika kutoa haki kama anavyoeleza mwana JF huyu.

Mkuu Infomer, kwanza asante kutu inform kama jina lako lilivyo, kutuletea kile kunachoendelea duniani kwenye baadhi ya mitandao kama Twita, maana sio Watanzania wengi wanatajua haya mambo ya Twita na ku Twiti.

Tanzania ni ni nchi huru, a sovereign state, hiki kinachofanywa na Marekani, huku sio ni kuingilia mambo yetu ya ndani na kuingilia uhuru wa mahakama zetu?

No one anaruhusiwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, hata Marekani haipaswi kutuingilia!, au wenzetu mnaona raha kuingiliwa?.

Mimi ni story teller, hivyo kwa wapenda short and clear ishieni hapa, wale ma story tuendelee

Kama Wamerekani wametuingilia kisiasa, tukanyamaza, wakatuingilia kijamii, tumewapigia magoti, sasa wanaingilia Mhimili wa mahakama. Tunyamaze?. Tukiendelea kunyamaza hivi si hawa Wamarekani watatungilia kila sehemu inayoingilika hadi hata kutuingilia kinyume cha...kwa sehemu zisizo ingilika kama kuingilia mambo yetu ya ndani kwa kutuingilia katiba yetu, sheria zetu, taratibu zetu, na kanuni zetu tulizojiwekea? Si wanaweza kutuingilia hadi kumtoa mtu wetu na kutuwekea mtu wao?

Wajameni kama ilivyo demokrasia yetu, zilivyo siasa zetu, human rights records zetu, hukumu hii ndio mahakama zetu, hizi ndizo hukumu zetu na kwa upande wa haki, hizo ndizo haki zetu na huu ndio utoaji haki wetu nchini Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatano njema
P
Bandiko zuri posted by Pascal 2020 at least umenena ukweli I hope hata kama mtu yupo ccm sidhani kama anafurahi hasa pale wengine wanateswa na serikali kwa misingi ya itikadi, mfano angalia akina lugola wapo nje bila hata kupelekeshwa na mahakama, kumbuka Tundu lissu kapigwa mchana kweupe lakini hakuna hata suspects lakini akifanyiwa wa ccm hata kama ni kiongoz wa mtaa hayapiti Massa 6 watu kibao wapo ndani.
mambo haya ambayo ccm inayapanda itakapofika wakati wa kuvuna wasilalamike. Mi ni ccm lakini siungi mkono kuonewa wengine whether wana vyama ama hawana sababu Mungu wangu ni wa HAKI
 
Wanafki huwa hamzeeki ?
 
Siku maccm tukiyatoa pale kileleni yatapigwa mawe na kila mtu mwenye akili timamu
 
Siku ccm inaondoka madarakani cha kwanza kabsa ni kutaifisha Mali zote mfano viwanja na majengo ambayo wamerithi kwenye chama kimoja yaani yalikuwa ya umma, na watu watampongeza sana uongoz utakaofanya hayo kwa maandamano makubwa, pili kutokana na matukio ya akina mawazo, lissu, mwandishi yule wa channel ten, nk watawala wataitangaza ccm kuwa chama cha kigaidi na kikifuta alafu walio kwenye system waombe wawe wamesha rip maana balaa lao hatari
 
yote yafanywe ila viboko ni muhimu zaidi
 
Acha kutuona wengine mazumbukuku,
Sovereign state with dictatorship characters.
Sovereign state without democracy, is bullsheet
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa kuzungumzia Maslahi kwa Taifa, huwa nazungumza. Watanzania wenzangu, tuwe watu wa shukrani kwa yote, kukifanyika mazuri tushukuru, na hata kwa mabaya tushukuru, huwezi jua, hii hukumu ya kina Mbowe japo imegeuzwa ni mtaji, lakini tushukuru. What is TZS 350m compared to liberty? Tena usikute hukumu hii ikageuka a blessing in disguise kwa kuwaunganisha wapinzani wote wa kweli against a common enemy na kuunda a strong united front for the first time Tanzania tukapata a strong credible na serious opposition ambayo inaweza kuwa mbadala wa CCM.

Hata kama kina Mbowe hawakuhukumiwa kwa haki, lakini watakuwa huru na hizi ndizo haki zetu. Haki za kweli zinatolewa na karma pekee! Kwavile Aquiline aliuwawa na risasi moja, na kwenye kundi la wale polisi 6 waliofyatua risasi za moto, na wote kukamatwa na kuachiwa baada ya kujengwa hoja kuwa hiyo risasi iliyomuua Aquiline haikulengwa kwake, bali ilifyatuliwa juu ikaenda juu angani, kisha ikapinda kona, ikashuka chini, ikaingia kwenye daladala ikamchagua Aquiline na kumuingia!.

Polisi aliyeifyatua by now, atakuwa ameishashughulikiwa na karma, na haya ndio maajabu ya mfumo wetu wa utoaji haki. Mtu anauwawa kwa risasi, askari sita wenye silaha waliofyatua risasi wameachiwa, huku kina Mbowe waliokuwa wakiandamana mikono mitupu ndio wanakamatwa, wanaswekwa mahabusu, wanashitakiwa, wanakutwa na hatia na kuhukumiwa!. Kama wamehukumiwa kwa kuonewa, karma itamshughulikia muonevu na kuwafidia waonewa, tushukuru Mungu kwa yote.

Bandiko hili ni bandiko la swali, kuwa Tanzania ni nchi huru, a sovereign state, mahakama zetu ni zinapaswa kuwa huru, independent bila kuingiliwa. Hii kukumu ya kesi ya kina Mbowe, ni moja tuu ya hukumu nyingi za mahakama zetu, na hukumu hizi ndizo hukumu zetu za haki zetu kwa viwango vyetu vya mahakama zetu, sasa hawa Wamerekani ni nani hadi watuingilie mambo yetu ya ndani?. Who the hell are they kutuingilia?. Je, Tanzania tukubali kuingiliwa ingiliwa tuu hadi uhuru wa mahakama zetu kuingiliwa? Tukikubali kuingiliwa ingiliwa hivi si watakuja kutuingilia hadi kinyume cha ...na hata kututia vidole....machoni.

Nimesoma mahali kuwa Marekani imetuingilia kwa kuingilia uhuru wa mahakama zetu katika kutoa haki kama anavyoeleza mwana JF huyu.

Mkuu Infomer, kwanza asante kutu inform kama jina lako lilivyo, kutuletea kile kunachoendelea duniani kwenye baadhi ya mitandao kama Twita, maana sio Watanzania wengi wanatajua haya mambo ya Twita na ku Twiti.

Tanzania ni ni nchi huru, a sovereign state, hiki kinachofanywa na Marekani, huku sio ni kuingilia mambo yetu ya ndani na kuingilia uhuru wa mahakama zetu?

No one anaruhusiwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, hata Marekani haipaswi kutuingilia!, au wenzetu mnaona raha kuingiliwa?.

Mimi ni story teller, hivyo kwa wapenda short and clear ishieni hapa, wale ma story tuendelee

Kama Wamerekani wametuingilia kisiasa, tukanyamaza, wakatuingilia kijamii, tumewapigia magoti, sasa wanaingilia Mhimili wa mahakama. Tunyamaze?. Tukiendelea kunyamaza hivi si hawa Wamarekani watatungilia kila sehemu inayoingilika hadi hata kutuingilia kinyume cha...kwa sehemu zisizo ingilika kama kuingilia mambo yetu ya ndani kwa kutuingilia katiba yetu, sheria zetu, taratibu zetu, na kanuni zetu tulizojiwekea? Si wanaweza kutuingilia hadi kumtoa mtu wetu na kutuwekea mtu wao?

Wajameni kama ilivyo demokrasia yetu, zilivyo siasa zetu, human rights records zetu, hukumu hii ndio mahakama zetu, hizi ndizo hukumu zetu na kwa upande wa haki, hizo ndizo haki zetu na huu ndio utoaji haki wetu nchini Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatano njema
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio unalalamika, au huoni kuwa unalalamika? Unajua kabisa km Lissu alikimbiza ushahidi sasa ulitaka serikali ifanyeje? Hata km angekuwa ni mwana ccm serikali isingekuwa na chakufanya.
Kama mawazo yako ndiyo haya basi hatuna watu makini ktk masuala ya kiuchunguzi. Angeuawa kumbe na ushahidi ungefukiwa kaburini au unaamua tu kujitoa ufahamu kwakuwa nawe ni miongoni mwa watesi wetu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa kuzungumzia Maslahi kwa Taifa, huwa nazungumza. Watanzania wenzangu, tuwe watu wa shukrani kwa yote, kukifanyika mazuri tushukuru, na hata kwa mabaya tushukuru, huwezi jua, hii hukumu ya kina Mbowe japo imegeuzwa ni mtaji, lakini tushukuru. What is TZS 350m compared to liberty? Tena usikute hukumu hii ikageuka a blessing in disguise kwa kuwaunganisha wapinzani wote wa kweli against a common enemy na kuunda a strong united front for the first time Tanzania tukapata a strong credible na serious opposition ambayo inaweza kuwa mbadala wa CCM.

Hata kama kina Mbowe hawakuhukumiwa kwa haki, lakini watakuwa huru na hizi ndizo haki zetu. Haki za kweli zinatolewa na karma pekee! Kwavile Aquiline aliuwawa na risasi moja, na kwenye kundi la wale polisi 6 waliofyatua risasi za moto, na wote kukamatwa na kuachiwa baada ya kujengwa hoja kuwa hiyo risasi iliyomuua Aquiline haikulengwa kwake, bali ilifyatuliwa juu ikaenda juu angani, kisha ikapinda kona, ikashuka chini, ikaingia kwenye daladala ikamchagua Aquiline na kumuingia!.

Polisi aliyeifyatua by now, atakuwa ameishashughulikiwa na karma, na haya ndio maajabu ya mfumo wetu wa utoaji haki. Mtu anauwawa kwa risasi, askari sita wenye silaha waliofyatua risasi wameachiwa, huku kina Mbowe waliokuwa wakiandamana mikono mitupu ndio wanakamatwa, wanaswekwa mahabusu, wanashitakiwa, wanakutwa na hatia na kuhukumiwa!. Kama wamehukumiwa kwa kuonewa, karma itamshughulikia muonevu na kuwafidia waonewa, tushukuru Mungu kwa yote.

Bandiko hili ni bandiko la swali, kuwa Tanzania ni nchi huru, a sovereign state, mahakama zetu ni zinapaswa kuwa huru, independent bila kuingiliwa. Hii kukumu ya kesi ya kina Mbowe, ni moja tuu ya hukumu nyingi za mahakama zetu, na hukumu hizi ndizo hukumu zetu za haki zetu kwa viwango vyetu vya mahakama zetu, sasa hawa Wamerekani ni nani hadi watuingilie mambo yetu ya ndani?. Who the hell are they kutuingilia?. Je, Tanzania tukubali kuingiliwa ingiliwa tuu hadi uhuru wa mahakama zetu kuingiliwa? Tukikubali kuingiliwa ingiliwa hivi si watakuja kutuingilia hadi kinyume cha ...na hata kututia vidole....machoni.

Nimesoma mahali kuwa Marekani imetuingilia kwa kuingilia uhuru wa mahakama zetu katika kutoa haki kama anavyoeleza mwana JF huyu.

Mkuu Infomer, kwanza asante kutu inform kama jina lako lilivyo, kutuletea kile kunachoendelea duniani kwenye baadhi ya mitandao kama Twita, maana sio Watanzania wengi wanatajua haya mambo ya Twita na ku Twiti.

Tanzania ni ni nchi huru, a sovereign state, hiki kinachofanywa na Marekani, huku sio ni kuingilia mambo yetu ya ndani na kuingilia uhuru wa mahakama zetu?

No one anaruhusiwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, hata Marekani haipaswi kutuingilia!, au wenzetu mnaona raha kuingiliwa?.

Mimi ni story teller, hivyo kwa wapenda short and clear ishieni hapa, wale ma story tuendelee

Kama Wamerekani wametuingilia kisiasa, tukanyamaza, wakatuingilia kijamii, tumewapigia magoti, sasa wanaingilia Mhimili wa mahakama. Tunyamaze?. Tukiendelea kunyamaza hivi si hawa Wamarekani watatungilia kila sehemu inayoingilika hadi hata kutuingilia kinyume cha...kwa sehemu zisizo ingilika kama kuingilia mambo yetu ya ndani kwa kutuingilia katiba yetu, sheria zetu, taratibu zetu, na kanuni zetu tulizojiwekea? Si wanaweza kutuingilia hadi kumtoa mtu wetu na kutuwekea mtu wao?

Wajameni kama ilivyo demokrasia yetu, zilivyo siasa zetu, human rights records zetu, hukumu hii ndio mahakama zetu, hizi ndizo hukumu zetu na kwa upande wa haki, hizo ndizo haki zetu na huu ndio utoaji haki wetu nchini Tanzania.

Mungu Ibariki Tanzania.

Jumatano njema
P

Lol!! Na wewe ulienda shule ukajifunza kabisa halafu sasa hivi elimu umeweka chini ya uvungu, unajitoa akili. Mfyuu, people like you are the worst enemies of progress.
 
Pascal Mayala huna lolote mnafiki mkubwa wewe, mbona huzungumzii mauchafu anayoyafanya Yohana na Paulo. Wameua, wamefunga watu wasio na hatia, wamewafilisi watu, wamewafunga wapinzani baada ya kuzidiwa hoja na kama haitoshi wamenunua wabunge na madiwani. Je, hayo huyaoni?

Kila mwenye akili timamu anajua kuwa sasa hivi mahakama zetu zinafanya kazi kwa kupokea maagizo kutoka kwa Yohana na siyo kutoka kwenye katiba!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nimemuelewa,nakushauri umsome tena
 
Ataanza kuongelea hilo jamaa akibakisha miaka mitatu ya utwala wake wa awamu ya pili. Ila kwasasa huyu jama credibility yake imeshuka saana maana anahofu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom