status quo
Member
- May 6, 2011
- 87
- 38
kwa kweli nimesikitishwa sana na mwelekeo wa taifa letu hususan katika nyanja ya utumishi wa umma, kwa haya tunayoyaona kwa walimu, madaktari, nk kila wanapodai maslahi yao wana pigwa, wanatishwa, na kunyamaziswa na kunyimwa haki yao ya msingi. Hali hii inanifanya kuamini ule msemo wa mitaani ya kwamba ukitaka ubaya ndugu basi dai chako uone.