Tanzania, Mtaa kwa Mtaa

Mwananyamala Hospital DSM

thumbnail.php


thumbnail.php


thumbnail.php


thumbnail.php
 
Ama kweli hizi picha zimedhihirisha 'uneven distribution' ya rasilimali. Just compare Dar,Arusha V/S Maswa,Mbeya &Musoma.. Really hurting..
 
Thanks for picha. Lakini si vizuri ulivyoweka list ya wanawake waliopo leba Mwananyamala, nimeona jina la mke wangu
 
Majengo Mbeya ndio hii

Wakuu leteni picha za Mitaani tuone

318836_475290095831839_730516877_n.jpg

Hapa pamefanana kidogo kama Babati, ule mtaa ulio kushoto mwa barabara inayotoka Singida kabla ya junction ya Kondoa, ukiwa uko karibu na maeneo ya White Rose (mitaa iliyo kushoto mwa barabara ya kutoka singida ukia maeneo hayo)
 
Back
Top Bottom